FactNawashauri tu, mnafanya dhidi ya lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha lissu na kufarihisha wengine.
Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake.
Mtendeni haki lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri vya kuona jinsi mnakwamisha lkn ndani ya nafsi yenu mnaamini tofauti.
HAKI NDIO MSINGI WA BINAADAM
Ushahidi wa Qur’an
Qur’an 4:135 – “Enyi mlioamini! Simameni imara katika uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni dhidi ya nafsi zenu…”
Qur’an 5:8 – “Msichukiwe na watu mkashindwa kutenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo karibu zaidi na uchamungu.”
Hii inaonyesha kuwa haki si chaguo bali ni amri ya kidini.
Maana ya Kutenda Haki
Kutenda haki ni:
Kumpa kila mtu haki yake bila dhulma.
Kuhukumu kwa usawa bila upendeleo wa mali, undugu au chuki.
Kuepuka ushahidi wa uongo na dhulma.
Kusimamia ukweli katika jamii, familia, na uongozi.
Mtume Muhammad (S.A.W) alionya kuwa dhulma ni giza Siku ya Kiyama, na viongozi waadilifu watakuwa katika kivuli cha rehema ya Allah.
RAMADHAN IWE LKAREEM
Katika Surah ‘Abasa (80:34–37), Allah anasema:Kawaambe BAKWATA basi
Sisi tunajua, bila Haki Hakuna Amani
Kwa hiyo wale mashee waliokaza shingo zao ati amani kwanza kabla ya haki walikua na maslahi Yao?Katika Surah ‘Abasa (80:34–37), Allah anasema:
“Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake,
Na mama yake na baba yake,
Na mke wake na watoto wake.
Kila mtu siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosha.”
Inawezekana TEC wanaijua Quran lkn kuifata hawataki lkn wanaamini ndio haki yenyewe QuranKwa hiyo wale mashee waliokaza shingo zao ati amani kwanza kabla ya haki walikua na maslahi Yao?
Kwa hiyo TEC wanaelewa Quran kuliko mashehe?
Tafdhali
Ingawa ni violent na kutusha, but one thing you made my day!Mashekhe wa BAKWATA wakitoana ngeu kugombea vijinyama kutoka Makkah
Amini usiamini:Inawezekana TEC wanaijua Quran lkn kuifata hawataki lkn wanaamini ndio haki yenyewe Quran
Adriz banaFact
Pale mashahidi wote wa kesi ya lissu ni wakristo. Bakwata inahusika vipi?Mashehe wa BAKWATA ndo watunga ushahidi wa uongo na kuongopa ati amani ni Bora kuliko haki.
WALAANIWE
Bendera hufuata upepoFact
CCM ni Axis of EvilsPale mashahidi wote wa kesi ya lissu ni wakristo. Bakwata inahusika vipi?
Mashehe wa BAKWATA ndiyo pasua kichwa ngumi mkononi hasa kama kuna mgao wa vijinyama toka MakkahAmini usiamini:
Binadamu yoyote ambaye anaijua Quran au Bible hana matatizo hapa duniani wala Hana chokochoko.
TEC wanaijua sana Quran ndiyo maana wanaisha kwa haki.
Sijasema mashehe hawajui Quaran au Bible bali baadhi ya mashehe maslahi mbele.
huyo kibaraka muhaini ni lazima atiwe hatiani na hatimae arestishwe in peace kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa vibaraka na mamaluki nonsense kama yeye,Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine.
Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake.
Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri vya kuona jinsi mnakwamisha lkn ndani ya nafsi yenu mnaamini tofauti.
SIKU YA HESABU
Katika Surah ‘Abasa (80:34–37), Allah anasema:
“Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake,
Na mama yake na baba yake,
Na mke wake na watoto wake.
Kila mtu siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosha.”
HAKI NDIO MSINGI WA BINAADAM
Ushahidi wa Qur’an
Qur’an 4:135 – “Enyi mlioamini! Simameni imara katika uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni dhidi ya nafsi zenu…”
Qur’an 5:8 – “Msichukiwe na watu mkashindwa kutenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo karibu zaidi na uchamungu.”
Hii inaonyesha kuwa haki si chaguo bali ni amri ya kidini.
Maana ya Kutenda Haki
Kutenda haki ni:
Kumpa kila mtu haki yake bila dhulma.
Kuhukumu kwa usawa bila upendeleo wa mali, undugu au chuki.
Kuepuka ushahidi wa uongo na dhulma.
Kusimamia ukweli katika jamii, familia, na uongozi.
Mtume Muhammad (S.A.W) alionya kuwa dhulma ni giza Siku ya Kiyama, na viongozi waadilifu watakuwa katika kivuli cha rehema ya Allah.
RAMADHAN IWE LKAREEM
Najua wengi hamtanielewa,,nitawaelewesha tu.Bendera hufuata upepo
Wahenga walisema
Vurugu zililetwa na dhulumat za hakiNajua wengi hamtanielewa,,nitawaelewesha tu.
Kama vurugu zingeendelea je hata hiyo mahakama ingefanya kazi?
JIBU HAPANA,sasa baada ya kuwa na amani ndio mmeona hata kesi zinaendelea sasa,kwahiyo kwanza amani na pili ni haki