Mawakili wa serikali wakijidai kuuliza vijiswali vya trekta za Heche ,na Heche nae aulize juu ya magari Yao ya mabilioni

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu.
Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao.

CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa.

Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu ya gari au trekta ya Heche Ina thamani Gani,Heche anaweza kujibu gari langu used la sh Milioni kumi sio ghali sana kushinda Rolls Royce ya Abdu na ya Mkuu wa kitengo.

Au akiuliza ulienda Dubai kufanya Nini ,nae anauliza ,Abdul alienda Urusi kama nani?
Nilienda Dubai kutembe kama alivyoenda Abduli Urusi kutembea.

Akianza kujibu hivyo nadhani nao watakoma.
 
Wewe shabiki wa muziki wa mnanda na singeli ungejikita huko. Huu ushauri wako ni takataka utakaomfanya Heche azidi kudhalilika zaidi.
 
Huwezi kuwa na waziri kama Katambi kwenye akili za kuita wasanii na mashoga nchini.
 
Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu.
Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao.

CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa.

Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu ya gari au trekta ya Heche Ina thamani Gani,Heche anaweza kujibu gari langu used la sh Milioni kumi sio ghali sana kushinda Rolls Royce ya Abdu na ya Mkuu wa kitengo.

Au akiuliza ulienda Dubai kufanya Nini ,nae anauliza ,Abdul alienda Urusi kama nani?
Nilienda Dubai kutembe kama alivyoenda Abduli Urusi kutembea.

Akianza kujibu hivyo nadhani nao watakoma.
kizimbani kuna sayansi yake gentleman 🐒
 
Wewe shabiki wa muziki wa mnanda na singeli ungejikita huko. Huu ushauri wako ni takataka utakaomfanya Heche azidi kudhalilika zaidi.
Wewe bibi kizee nenda kaendelee na biashara Yako ya kujiuza river ,mijadala hii haikusaidiii kitu
 
Yaani yenyewe ni majizi kupindukia na bado yanapata uhalali wa kuwahoji wengine! Mambo ya kustaajabisha sana
 
Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu.
Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao.

CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa.

Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu ya gari au trekta ya Heche Ina thamani Gani,Heche anaweza kujibu gari langu used la sh Milioni kumi sio ghali sana kushinda Rolls Royce ya Abdu na ya Mkuu wa kitengo.

Au akiuliza ulienda Dubai kufanya Nini ,nae anauliza ,Abdul alienda Urusi kama nani?
Nilienda Dubai kutembe kama alivyoenda Abduli Urusi kutembea.

Akianza kujibu hivyo nadhani nao watakoma.
Kumbe wote majizi harafu mnadanganya wapumbavu huko mtaani wasiojitambua eti mnawapigania Haki zao 😂😂😂😂😂

Harafu hayo majinga yanaenda kufanya vurugu yanakula chuma wengine selo eti wanapigania Haki.

Dunia imejaa majitu mengi majinga kabisa.
 
Wewe empty head ngoja nikueleweshe.
Walichojaribu kufanya hao mawakili uchwara wa serikali ni kumtisha Heche kua wanajua mambo yake,ili kumtoa mchezoni.
Heche kumiliki gari za hata Mil 200 sio ishu kumbuka alikua Mbunge na pengine familia aliyotoka inajiweza.

Sasa Hao mabwana zako wamekua waliiba Hela zetu toka 1961.
Kwa uchache
Richmond
EPA
Kagoda
Tegeta Escrow
Meremeta
Loliondo
DP world
Buzwagi
Minofu ya samaki
N.k.
Sasa niambie CHADEMA wameiba wapi wakati serikali ianongozwa na mabwana zako?
 
Back
Top Bottom