Mawakili Wahujumiana: TLS Yaziba Masikio:Nao Waamua kuwa Madalali!

Mawakili Wahujumiana: TLS Yaziba Masikio:Nao Waamua kuwa Madalali!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Mawakili wa Tanzania wamekuwa hawana maana tena , wanahujumiana wao kwa wao, wamekuwa hawaheshimika hata na mamlaka nyingine na wakionekna bora hata wauza pipi kuliko mawakili!

SWALI NI KIPI KIMEWASIBU?- Hapa ilianza chuki , pale mwaka 2014 chaguzi za TLS walipojitokeza machawa waliopandikizwa kuhakikisha LISSU, Fatma KArume , NSHALA , LAU MASHA hawapati urais wa TLS na nguvu kubwa kutumika kupandikiz mawakili wa SErikali, kuwalipimia nauli, malazi na POsho.

Hatua iliyofuata ni , kuaznisha chama cha mawakili wa Umma, na wakaweka uongozi wao lakini mawakili hao hao bado wanataka kuwa mawakili wa TLS, kwahiyo wanaingia TLS na Chama cha mawakili wa serikali,.

MASHIRIKA YA MSAADA WA KISHERIA: WILAC, LHRC,TDRC, UDSM, na mengine yapo zaidi ya mashirika 200 kutoa msaada wa kisheria.

Ukienda mahakama ya ndoa na mirathi Temeke , utakuta pale ground floor kuna mashirika zaidi ya manne na yamepewa ofisi za serikali yanatoa msaada wa kisheria kazi ambazo ni za mawakili. Mtu anakuja kwenye mirathi yenye dhamani ya milioni 100 ila anakwambia hana hela ya wakili, watu wanagombea majumba hana ela ya wakili ila mtu huyo huyo kwenye biashatra yake ANALIPA MHASIBU wa kumfanyia Return za TRA, huu ni upuuzi ulioendekezwa na Mawakili wanaotunga sheri wao kwa wao.

BRELA/RITA: Ukienda RITA kazi za mawakili zinapelekwa stationary, ukienda BRELA mtumishi namwambia mteja nenda stationary maana mawakilini ghali sana, ukienda Bank wanakwambia kagonge muhuri wa mahakama na siyo wakili pasi kujua hakuna hakimu anayendaikaga jina lake kwenye nyaraka za kugonga muhurinna si hilo tu bali wanao gonga ni makarani wa hakimu na si hakimu mwenyewe.

Ukienda wizara ya ardhi, watumishi wana mihuri wameficha kwenye droo wanafanya kazi za mawakili.

BASI SASA, TUNAOMBA CHAMA CHA MADAKTARI KIANZISHE HOSPITALI ZA PROBONO, CHAMA CHA WAHASIBU KIANZISHE WATU WA KUTUFANYIA HESBUNA RETURNS TRA KWA SISI TUSIO NA UWEZO, CHAMA XCHA WAKANDARASI ERB NAI WANZISHE MSAADA WA KUTUCHOREA NA KUJENGA NYUMBA BURE KWAKUWA HATUNA UWEZO.

Chama cha walimu nao asomeshe tuition watoto wasio na fedha za kulipa.

Chama cha wasafirishaji wabebe abiria bure kwa wasio na nauli!
 
Back
Top Bottom