Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Niliwahi kuhoji uwezo wa Kibatala na Lissu kwa kutumia mfano mdogo wa kesi ya Zitto vs Chadema ambapo Chadema iliwakilishwa na jopo la mawakili akiwemo Lissu na Kibatala, wakati Zitto aliwakilishwa na wakili mmoja tu Albert Msando. Chadema ikabwagwa! Halafu Kibatala ameakuwa anatumia mbinu moja tu katika uwakili wake, kutafuta technicalities ndogondogo ndizo anafanya utetezi wake mkuu.
 
Ni ngumu sana kwa pande zote mbili,kwa serikali ni ngumu maana hawana ushahidi ambao uko direct
Kwamba mbowe gaidi,ila kwa mbowe ni ngumu maana ushahidi ambao ni direct ya
Kwamba hana hatia nao haupo ,hivyo bila Rais kumnusuru atanyea ndoo sana.wanofaidika
Ni jamhuri ila Mbowe atapata shida .
 
Hivi Nyie hamjiulizi kama wewe ni shabiki wa Arsenal kwa mfano, halafu refa anateuliwa na Kroenke ambae anataka team yake ishinde na baadae refa ana njaa zake kazi ndio hiyo anaitegemea...anaeidhinisha mishahara yake ni Kroenke..what do you think??
 
Mkiondoa mihemko ya vyama vyenu mkaweka pembeni mtajua yupi yupo sahh yupi na yupi ana zuga.
 
 
KIBATALA HANA UWEZO MKUBWA KAMA ANAVYOJINASIBU NI MBABAISHAJI TU NA HUYU NDIYO ATAIFANYA KESI IMALIZE MIAKA WAKIMUENDEKEZA SASAHIVI WANGEKUWA WAMEPIGA HATUA
 
It doesn't matter who leads and who doesn't. What matters is cooperation - working as a team - because to be a team leader doesn't mean that one is more intelligent than others, it only means that one can coordinate well using the insights one gets from other members of the team. To does in a case does not mean that one had weak evidence, it could just be based on technicalities or sometimes the judge may not 'be above suspicion like Caesar's wife'.
 
Ila wale waliombambukia wanauwezo mkubwa was kubambikia🏋️.
 
Tundu lissu mwenyewe akija anakamatwa kwa kujump bail. Ni mkimbizi wa kesi zake.
 
Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.
Hayo maamuzi umeyaona mzee. Au mnapayuka tu. Tafuta hayo maamuzi yanapatikana uone kama unachosema ni kweli au siyo kweli.
 
Mawakili wapo vizuri wamehoji kila kitu hakuna kuchuja kidogo kikubwa vyote lazima wahoji na imesaidia watu kujua PGO kubaini mateso kwa walinzi wa mbowe na uonevu wote waliotendewa kwenye kesi ya ugaidi hewa, Kwa mazingira ya kumpa Rushwa ya cheo jaji ni vigumu kupata haki hata angekuwepo Tundu Lisu, tayari Polisiccm na CCM wana hukumu zao nje ya mahakama hata awepo wakili gani lazima Jaji atavurunda kesi kwa vyovyote vile,
 
Vijana wa Lumumba kwa upotoshaji na blah blah tu, hamjambo. Huyo Jaji kibaraka wa CCM ametoa hukumu kwa kuzingatia MAONI NA MAHABA YAKE kwa chama bila kuzingatia sheria, huo ndio weledi wa Mahakama?
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa Sabaya mahakama iko vizuri na inapongezwa

Kwa mwenyekiti shida inakuja wenye mamlaka
Tuwache visingizio visivyo vya msingi
Visingizio vipi? Acha ujinga wako, kesi ya mbowe ni kesi ya kubambikiwa ni ugaidi hewa mashahidi wa kutengeneza PGO imekiukwa walinzi wa mbowe wamepigwa wakateswa wakafungwa pingu saa 24 kila siku, sabaya na walinzi wake waliteswa kupigwa? walifungwa pingu saa 24 kila siku? Acha kuja na mfano wa kesi ya Sabaya ambayo ipo wazi yenye ushahidi wa wazi na ukweli na sasa Takukuru nao wanakuja na kesi zake zingine, mahakamaccm imegawa cheo kwa jaji ili avurunde kesi ya mbowe
 
Hakuna cha mawakili wala cha nani, ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa hatuna credible judiciary, period.

Toka Magufuli alivyowambia majaji kwa nini serikali inashindwa kila kesi ilhali yenyewe ndio inatoa pesa za kuendeshea hizo mahakama na akateua na jaji mkuu kwa "Blackmail Style of Appointment" basi akawa ameinajisi kabisa idara ya mahakama.

La pili, serikali ya ccm kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakiwaweka kwenye idara ya mahakama majaji na mahakimu ambao ni aidha wanachama wa chama chao au ni watumishi wa idara ya usalama wa taifa jambo ambalo limechangia kuua kabisa mhimili wa mahakama na matokeo yake ndio haya tunayoyashuhudia leo, mara Sugu afungwe kiuonevu, mara Lema anyimwe dhamana na sasa ni zamu ya Mbowe na bila shaka orodha itaongezeka huko mbeleni.
 

Pathetic! Hakuna criminal defendant atakayetiwa hatiani kama testimonies za criminal defendants zitabebwa na mahakama at face value.
 
Maamuzi ya kimahakama yanaambatana na rejea ya vifungu vya kisheria au kesi zilizokwisha kufanyiwa maamuzi, Je kwenye maamuzi ya Hilo so shauri dogo hayo yameonekana?
Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.
Hayo maamuzi umeyaona mzee. Au mnapayuka tu. Tafuta hayo maamuzi yanapatikana uone kama unachosema ni kweli au siyo kweli.
Maamuzi hayana any legal justification. Wanasheria waliochambua wamemuanika wazi Jaji. Hata kama siyo mwanasheria kwa ushahidi uliotolewa na procecution bado kulikuwa na gap kubwa tu. Kama kungekuwa na Jury (Wazee wa Balaza), hiyo kesi haziwezi kuwa na maamuzi kama hayo. But if you really understand how the jury system works.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…