Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo


Hukumu hupaswa kuzingatia ushahidi usioacha shaka na kifungu husika cha sheria.

Jaji Siyani katumia ushahidi pekee wa upande wa mashtaka bila kuonyesha kwanini ushahidi huo ni wa kweli.

Jaji Siyani katupilia mbali ushahidi wote wa upande wa utetezi bila kuonyesha kwanini ushahidi huo si wa kweli.

Detention register ya Moshi ilihitijika angalau Jaji kuweza kusema yaliyosemwa na upande wa mashtaka yangeweza kuwa kweli.

Tathmini ya daktari kwa washitakiwa ilikuwa muhimu japo kwa Jaji kujiridhisha tu kuwa hawakuwa wameteswa.

Kwani Jaji Siyani ni malaika wa kujua ushahidi upi ni kweli na upi ni uongo kwa kusikiliza tu wakati majumuisho ya upande wa utetezi na yale ya mashtaka yanakinzana 100%.

Haina shaka kuwa ya Jaji Siyani ni visingizio tu vya kufikia hitimisho lile lile ambalo angelifikia hata kama wakili wa utetezi angekuwa Mungu!

Mawakili wa utetezi wako vizuri:

1. Hawakuwa na haja ya kuhitaji detention register ya Moshi kuthibitisha kuwa Adamoo aliandikisha maelezo baada ya masaa 4 kupita tokea kukamatwa Moshi.

--> Hili ni wazi hata kwa mtoto mdogo anajua kuwa maelezo yalichukuliwa nje ya muda.

2. Hawakuwa na haja ya kuikataa detention register ya Central ili kuonyesha Adamoo aliteswa huku Jaji akiyaona makovu kwa macho juu ya ushahidi wa mashahidi kuhusu kuteswa.

-->Hili hata mtoto mdogo anajua washitakiwa waliteswa.

Mengine wakuu ni utopolo mtupu.
 
Pathetic! Hakuna criminal defendant atakayetiwa hatiani kama testimonies za criminal defendants zitabebwa na mahakama at face value.

Pathetic! Hakuna defendant atashinda kesi yoyote kama only prosecution allegations ndizo zitakuwa zinakuwa taken into consideration na mahakama and at face value.

Ushahidi wa polisi pekee ndiyo umezingatiwa na Jaji Siyani kwenye shauri hili and at face value!

Hakika hata kama wakili angekuwa Mungu angeshindwa hii kesi.
 
Ungekuwa umesoma sheria na kuielewa wala usingejiaibisha kwa kuleta uzi huu. Kuhoji ndo kazi ya wakili bila kujali kama anahoji mambo makubwa au madogo. Kweli ujinga ni mzigo.
 
Mwenye uwezo mdogo ni wewe mwenyewe...
Jaribu kutafuta na kusoma maamuzi ya Jaji word by word... Ukiyaelewa rudi tena uandike
 
Mwenye uwezo mdogo ni wewe mwenyewe...
Jaribu kutafuta na kusoma maamuzi ya Jaji word by word... Ukiyaelewa rudi tena uandike

Mkuu tumeyasoma word to word and onto maelezo ya Jaji yaliyozingatia ushahidi wa upande wa mashtaka peke yake na ndipo tukaandika.

Kwani kuna ushahidi upi unao qualify ushahidi wa upande wa mashtaka kuwa kweli na kweli tupu? Au ushahidi upi unao disqualify ushahidi wa upande wa utetezi kuwa batili na batili kweli kiasi cha kutozingatiwa hata chembe?
 

Attachments


Unahitaji kufanya sala ya toba. Mungu hadhihakiwi.
 
Wapi unaposoma umekuwa jaji au hakimu?

Utakuwa jaji au hakimu wewe?

Angalizo: kwenye "haramu zake" ndipo panapo kuhusu wewe kikamilifu!

Mimi nisiyetoa hukumu ninahusikaje na haramu zake?
 
Mimi nisiyetoa hukumu ninahusikaje na haramu zake?

Ukishangilia, ukidemkia, ukishadadia, ukikomalia uharamu wake eti kuwa uonekane ni halali na yote ya namna hiyo, huwezi kujitenga na haramu husika.

That's where you fit tightly.
 
Jaji kahongwa cheo sasa ni jaji kiongozi kwa maamuzi haramu ya kishetani ni Aibu kwa Nchi kuwa na Jaji kiongozi asiyejua kubalance ushahidi
 
Ukishangilia, ukidemkia, ukishadadia, ukikomalia uharamu wake eti kuwa uonekane ni halali na yote ya namna hiyo, huwezi kujitenga na haramu husika.

That's where you fit tightly.

Mimi sijashangilia. I just cannot take sides as most of you do. Just because I didn’t reject the judge’s decision it doesn’t mean that I sided with him. I just don’t have any compelling reason for rejecting his decision.

Ninatambua ugumu wa kazi wanazofanya wenye dhamana ya kusikiliza na kuamua mashauri. Almost hakuna mtuhumiwa anayeweza kufanya self incrimination akiwa kwenye witness stand. In fact, most criminal defendants tend to engage in emotional manipulation to win a judge’s sympathy.
 

Pana mkurulo mrefu wa mambo pale, sina hakika kwanini umechagua kushangilia peke yake:



You accuse others for taking sides, yet you don't want to be accused for the same?!

Not taking sides is not by mere words. Neither, does not mean persistently demeaning those you think have taken sides yet on no grounds.

Natural justice. Is it not?
 
Mamlaka yauteuzi, imeamua...
 
Nilitamani nifafanue jambo tokana na hoja ya mleta mada ila ngoja kwanza Mungu ni mwingi wa rehema
 
Ukishangilia, ukidemkia, ukishadadia, ukikomalia uharamu wake eti kuwa uonekane ni halali na yote ya namna hiyo, huwezi kujitenga na haramu husika.

That's where you fit tightly.
Kuwa Jaji kiongozi lazima ufanye uonevu kwa chadema Hii ni aina ya Rushwa mpya kugawana vyeo baada ya maamuzi haramu ya kishetani
 

Taking sides is a useless culture. It’s a recipe for chaos. No court decision is going to be acceptable to all.

There’s no need to accuse our judges of anything. They have a zero chance of winning. If they acquit a criminal defendant, they’ll be accused of favoring the criminal defendant. If they convict him or her, they’ll be accused of favoring the government. It’s nonsense!

To the extent allowed by our laws, let any aggrieved party take his or her case to the next level in the judicial system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…