Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Sikuwahi kuhudhuria hii kesi. Lakini ukisoma between the lines utaona maamuzi ya Jaji yanalinda status quo!
Nadhani amepata maagizo kuwa hii kesi inabidi isonge mbele bila kuruhusu kuonesha nyufa zilizopo kwenye utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama!
Kwa wafuatiliaji wa mambo watakumbuka kumuona CDF VS Mabeyo hivi karibuni alionekana akisindikizwa na IGP SN Siro kwenda kuongoza brass band ya polisi. Ule kwangu ulitosha kunipa mtazamo wa maamuzi ya kesi ndogo!
Anyway, haki haipotei! Mawakili wajipange!
Mbowe siyo #Gaidi! Na anachotuhumiwa nacho si #ugaidi!

NB: Asante kwa attachment.
 
Sawa kwahiyo wewe unajisikiaje?
 
Wapingaji wa serikali tu ndio wangesifu kwa mapambio.

Kiuhalisia mawakili wa serikali wanawaburuza akina kibatala
Endelea kufunga na kuomba ili mh Mbowe afungwe ili tanzania iwe nambari moja kwa ukuwaji wa uchumi hapa duniani.
 
Ok nenda kanawe miguu ukajitupe
 
Wewe umeyaona hayo maamuzi na kuyasoma.
 
Kuna Uzi flani niliwahi hoji ni "kesi ipi ya jinai kibatala amewahi shinda mpaka anapaishwa kiasi hicho"
 
Inawezekana mchawi akawa ndani ya chadema, hasa wale wanaopambania ile post ya mwenyekiti
 
Ok nenda kanawe miguu ukajitupe
Nlitegemea tu utakuja kutetea kibarua chako kisiote nyasi. Siku hizi una kazi mbili ya kutengeneza propaganda mfu za chama, kutetea vile usivyoweza tetea na kupiga kiwi viatu vya mtoto wa mwenyekiti wa chama. Endelea kulamba viatu vya mtoto wa mwenyekiti kwa namna yoyote ujuayo, lkn siku wakikuchoka hawatojali unachokifanya sasa. RIP Chacha Wangwe na Ben8. Hii picha hapo chini nilikupiga juzi ulipokuwa unapiga kiwi kwa njia ya ulimi viatu vya mtoto wa mwenyekiti wako. Inasikitisha sana kijana unakubali kuuza utu wako kwa sababu ya njaa yako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…