Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Mkuu tumeyasoma word to word and onto maelezo ya Jaji yaliyozingatia ushahidi wa upande wa mashtaka peke yake na ndipo tukaandika.

Kwani kuna ushahidi upi unao qualify ushahidi wa upande wa mashtaka kuwa kweli na kweli tupu? Au ushahidi upi unao disqualify ushahidi wa upande wa utetezi kuwa batili na batili kweli kiasi cha kutozingatiwa hata chembe?
Sikuwahi kuhudhuria hii kesi. Lakini ukisoma between the lines utaona maamuzi ya Jaji yanalinda status quo!
Nadhani amepata maagizo kuwa hii kesi inabidi isonge mbele bila kuruhusu kuonesha nyufa zilizopo kwenye utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama!
Kwa wafuatiliaji wa mambo watakumbuka kumuona CDF VS Mabeyo hivi karibuni alionekana akisindikizwa na IGP SN Siro kwenda kuongoza brass band ya polisi. Ule kwangu ulitosha kunipa mtazamo wa maamuzi ya kesi ndogo!
Anyway, haki haipotei! Mawakili wajipange!
Mbowe siyo #Gaidi! Na anachotuhumiwa nacho si #ugaidi!

NB: Asante kwa attachment.
 
Wakuu,

Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.

Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.

Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.

Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk

Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?

Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.

Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.

Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Sawa kwahiyo wewe unajisikiaje?
 
Wapingaji wa serikali tu ndio wangesifu kwa mapambio.

Kiuhalisia mawakili wa serikali wanawaburuza akina kibatala
Endelea kufunga na kuomba ili mh Mbowe afungwe ili tanzania iwe nambari moja kwa ukuwaji wa uchumi hapa duniani.
 
Sio wao ndugu yangu, hapo kuna mchezo unachezwa na vigogo fulan ndan ya chama, baada ya kugundua kuwa mwenyekiti hana mpango wa kutoka madarakan.

Yan amekifanya chama ni cha kwake na familia yake, wakati kuna watu wameshapoteza nguvu na mali zao kwa ajili ya chama.

Yote yanayofanyika sasa yana mkono wa yule mkoloni mweusi anaeishi ubeberuni na genge lake.

Ndo maana huwa hajishughulishi au kuonesha kuguswa sana na kesi hii. Waswahili wanasema "kikulacho ki nguoni mwako"
Ok nenda kanawe miguu ukajitupe
 
Kesi nyepesi kabisa hii
Hao mawakili kweli hawana uwezo
Wewe ndiye mwenye uwezo hakuna shida.
JamiiForums-702935624.jpg
 
Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.

Maamuzi hayana any legal justification. Wanasheria waliochambua wamemuanika wazi Jaji. Hata kama siyo mwanasheria kwa ushahidi uliotolewa na procecution bado kulikuwa na gap kubwa tu. Kama kungekuwa na Jury (Wazee wa Balaza), hiyo kesi haziwezi kuwa na maamuzi kama hayo. But if you really understand how the jury system works.
Wewe umeyaona hayo maamuzi na kuyasoma.
 
Kuna Uzi flani niliwahi hoji ni "kesi ipi ya jinai kibatala amewahi shinda mpaka anapaishwa kiasi hicho"
 
Inawezekana mchawi akawa ndani ya chadema, hasa wale wanaopambania ile post ya mwenyekiti
 
Ok nenda kanawe miguu ukajitupe
Nlitegemea tu utakuja kutetea kibarua chako kisiote nyasi. Siku hizi una kazi mbili ya kutengeneza propaganda mfu za chama, kutetea vile usivyoweza tetea na kupiga kiwi viatu vya mtoto wa mwenyekiti wa chama. Endelea kulamba viatu vya mtoto wa mwenyekiti kwa namna yoyote ujuayo, lkn siku wakikuchoka hawatojali unachokifanya sasa. RIP Chacha Wangwe na Ben8. Hii picha hapo chini nilikupiga juzi ulipokuwa unapiga kiwi kwa njia ya ulimi viatu vya mtoto wa mwenyekiti wako. Inasikitisha sana kijana unakubali kuuza utu wako kwa sababu ya njaa yako.

images (38).jpeg
 
Back
Top Bottom