Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Makamanda uchwara ndio mnavyojidanganya. Mwenyekiti aka kamanda wa anga hatoboi.Jaji kakimbia kesi ***** kaamrishwa juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamanda uchwara ndio mnavyojidanganya. Mwenyekiti aka kamanda wa anga hatoboi.Jaji kakimbia kesi ***** kaamrishwa juu
Sikuwahi kuhudhuria hii kesi. Lakini ukisoma between the lines utaona maamuzi ya Jaji yanalinda status quo!Mkuu tumeyasoma word to word and onto maelezo ya Jaji yaliyozingatia ushahidi wa upande wa mashtaka peke yake na ndipo tukaandika.
Kwani kuna ushahidi upi unao qualify ushahidi wa upande wa mashtaka kuwa kweli na kweli tupu? Au ushahidi upi unao disqualify ushahidi wa upande wa utetezi kuwa batili na batili kweli kiasi cha kutozingatiwa hata chembe?
Sawa kwahiyo wewe unajisikiaje?Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Sawa nenda ukachukue buku 7 lumumba.Kibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
Hawezi kusema hivyo maana hakuelekezwa kusema hivyo na anaye mtuma.Ungesema Majaji na Mawakili wa Serikali, hata Malaika wangekushangilia.
Kumbe upo?Tatizo sio mawakili, shida ni wenye mamlaka.
Wameamua lao.
Hawalijui hilo maana wanajiona wao ndiyo wenye haki ya kuishi.Huyo Mungu Mtu wenu soon Mungu atamshusha.
R.I.P HamzaTusubiri ushahidi wa kusudio la kufanya ugaidi maana kwa hakika hakukuwa na tukio la ugaidi.
Matarajio yangu hatutazuiwa kupatahabari mubaa ashara toka mahakamani
Wao ndiyo mahakimuHili ndiyo jibu. Kesi inaamuliwa nje ya mahakama
Endelea kufunga na kuomba ili mh Mbowe afungwe ili tanzania iwe nambari moja kwa ukuwaji wa uchumi hapa duniani.Wapingaji wa serikali tu ndio wangesifu kwa mapambio.
Kiuhalisia mawakili wa serikali wanawaburuza akina kibatala
Corona inatisha sanaKwa Sabaya mahakama iko vizuri na inapongezwa
Kwa mwenyekiti shida inakuja wenye mamlaka
Tuwache visingizio visivyo vya msingi
Ok nenda kanawe miguu ukajitupeSio wao ndugu yangu, hapo kuna mchezo unachezwa na vigogo fulan ndan ya chama, baada ya kugundua kuwa mwenyekiti hana mpango wa kutoka madarakan.
Yan amekifanya chama ni cha kwake na familia yake, wakati kuna watu wameshapoteza nguvu na mali zao kwa ajili ya chama.
Yote yanayofanyika sasa yana mkono wa yule mkoloni mweusi anaeishi ubeberuni na genge lake.
Ndo maana huwa hajishughulishi au kuonesha kuguswa sana na kesi hii. Waswahili wanasema "kikulacho ki nguoni mwako"
Wewe ndiye mwenye uwezo hakuna shida.Kesi nyepesi kabisa hii
Hao mawakili kweli hawana uwezo
Wewe umeyaona hayo maamuzi na kuyasoma.Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.
Maamuzi hayana any legal justification. Wanasheria waliochambua wamemuanika wazi Jaji. Hata kama siyo mwanasheria kwa ushahidi uliotolewa na procecution bado kulikuwa na gap kubwa tu. Kama kungekuwa na Jury (Wazee wa Balaza), hiyo kesi haziwezi kuwa na maamuzi kama hayo. But if you really understand how the jury system works.
Nlitegemea tu utakuja kutetea kibarua chako kisiote nyasi. Siku hizi una kazi mbili ya kutengeneza propaganda mfu za chama, kutetea vile usivyoweza tetea na kupiga kiwi viatu vya mtoto wa mwenyekiti wa chama. Endelea kulamba viatu vya mtoto wa mwenyekiti kwa namna yoyote ujuayo, lkn siku wakikuchoka hawatojali unachokifanya sasa. RIP Chacha Wangwe na Ben8. Hii picha hapo chini nilikupiga juzi ulipokuwa unapiga kiwi kwa njia ya ulimi viatu vya mtoto wa mwenyekiti wako. Inasikitisha sana kijana unakubali kuuza utu wako kwa sababu ya njaa yako.Ok nenda kanawe miguu ukajitupe
Judgements yote iliripotiwa hapa jukwaani live.Wewe umeyaona hayo maamuzi na kuyasoma.
Aise Watanzania ni watu wa ajabu sana.Judgements yote iliripotiwa hapa jukwaani live.
SawaWewe ndiye mwenye uwezo hakuna shida.View attachment 1983786