Inamaaana na kwa sabaya hizi mahakama hazikuamua kwa hakiiii??Hakuna Mahakama za kuamua kwa haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaaana na kwa sabaya hizi mahakama hazikuamua kwa hakiiii??Hakuna Mahakama za kuamua kwa haki.
Kumbuka jaji aliyetoa hukumu katika shauri dogo amepandishwa hivi karibuni cheo na kuwa Jaji Kiongozi. Uamuzi wa kumpa cheo kipya katika kipindi anaelekea kutoa uamuzi hauwezi kukwepa hisia za uwepo wa "undue influence" kutoka kwa mamlaka iliyomteua.Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Jiwe alishaharibu Mihimili mingine ikiwemo huu wa Mahakama. Hakimu/Jaji wote hao hulitewa hukumu mezani kazi yao ni kuisoma tu. Jiwe aliwajaza watu wasiojulikana kwenye Mihimili hizo ili aweze kuwacontrol. Itachukuwa miaka mingi kuirejesha Mahakama kwenye misingi yake.Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Mimi nilikwishamuona Kibatala long time, siyo "the best advocate with austerity in logic and argumentative regor". Amepata tu umaarufu kwa kujihusisha na kesi za kisiasa. Ni wakili wa kawaida sana ..Kibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
Yote kwa yoteHata asokuwa na mtazamo wa kina juu ya mambo ya kisheria anafahamu udhaifu wa uliomo kwenye hukumu ilotolewa jana.
Kwa mtazamo wako na ukirejea mahojiano ya Mh Rais na Salim Kikeke, alipohojiwa juu ya suala hili unadhani nini ama HUKUMU gani JAJI ataitoa?
Kauli ile imeharibu na INAENDELEA kuharibu UHURU WA MAHAKAMA na wala siyo jambo la KUFURAHIA kamwe
Kwa akili zako finyu mtu kama anasifa zote za kupanda cheo basi asipandishwe kwa sababu anaongoza kesi ya Mbowe?Kila mwenye akili timamu ameona kabisa rafu alizofanya Mh Rais yaani anampa ujaji mtu wakati akiwa anaendesha keao nyeti hasa baada ya kuona mzani umelala kwao na kila kitu kilikua wazi...kiufupi imefanyika hila ya wazi.
Huyo ndugu yako nimemsoma hata sijaelewa alichoandika, hope mnaelewa na vichwa nazi vyenu, naona umemjibu.Wanasheria wako Kenya
Ndio maana kesi zote muhimu hurushwa mubashara luningani.
Kesi ya Mbowe tungefanikiwa kuifanya private haya yote yasingetukuta.Wanasheria wako Kenya
Ndio maana kesi zote muhimu hurushwa mubashara luningani.
Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.Maamuzi ya kimahakama yanaambatana na rejea ya vifungu vya kisheria au kesi zilizokwisha kufanyiwa maamuzi, Je kwenye maamuzi ya Hilo so shauri dogo hayo yameonekana?
Mbona povu linakutoka hivyo? Halafu kauli zako zina viashiria vya kigaidi gaidi. Tunakufuatilia na likitokea lolote kati ya uliyotabiri basi nawe tutakuhesabu kuwa ni mmoja kati yao.Nyoko zenu kabisa buku 7 kazini.....kesi mnaamua jumba jeupe mnasingizia upuuzi....gaidi mchezo ?
Subirini waķija kulipa kusasi cha Hamza ndio mtaelewa Gaidi ni nini upuuzi wa Mahitq... mnaita eti Ugaidi hahahaha hao wanataka nyota za bure ......
Subirini waje waźeya mtasimuliq kuwa gaidi anakuwaje...wachumba hao mnasema eti wapelekezi wa ugaidi ahahahha kazi kweli tusubiri muda utaongea
Fafanua wapi Kibatala na squad yake wamekosea.Maana UMESEMA Wana UWEZO mdogo. Hebuelezea. Maana white KESI tumeisikiliza mwanzo mwisho. Hata asiyesomea SHERIA anaona wapi mwelekeo. Swali kwako wapi Mawakili WA MBOWE waliko teleza?Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Yamekuwa hayo tena .Kweli UWEZO unao. MfanyizieMbona povu linakutoka hivyo? Halafu kauli zako zina viashiria vya kigaidi gaidi. Tunakufuatilia na likitokea lolote kati ya uliyotabiri basi nawe tutakuhesabu kuwa ni mmoja kati yao.