Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Tatizo kuna watu wamepanda vyeo kwa ile exemption hasa kwenye idara ya ulinzi. Ila niliwadharau sana wale mawakili wa msamaha kwa hili.
Huyu Kichwa,hawampi tuu teuzi, sababu mguu ndani,mguu nje!
Pascal Mayalla unaitwa huku. Yaani wewe ukiona vitu vinakuhusu unajikausha.
Umejenga hoja kwa kiwango cha PhD, lakini naomba nikukosoe osg wale wenye degree tu hawaridhishwi kwenda Court,Mawakili wa exemption wawekewe vidoti vyeusi kwenye paji la uso..............kama issue ni experience kwanini wasitumie huo uzoefu kufaulu law school? Kwanini hoja ya uzoefu haitumiki kwa watu waliopo private sectors, huku kwenye private practice kuna watu ni Senior Legal Officer amekaa
firm miaka 15 lakini hapati msamaha anaenda kupewa karani ambae ana mwaka mmoja kazini na kazi yake kubwa kuwapa tarehe wadaawa.
Worse enough goli likatanuliwa zikaanza kutolewa exemption Hadi kwa watu ambao daily activity zao hazi involve active practice mfano exemption zimetolewa hadi kwa Watendaji wa Kata, Waandishi wa Vikao, maafisa usajili RITA & other agencies yaan kigezo kikawa ni check namba ya kada yoyote na LL.B lakini mtu wa private sector ambae kwa nature ya kazi anazofanya ni active ananyimwa exemption.
Hata tangazo tu la exemption linatolewa kama internal memo kuwa encourage kundi flani kuomba na kupewa.
Binafsi exemption ingekuwa inatolewa kwa legal officer wenye uzoefu kwenye ofisi kama OSG nisingekuwa na swali coz wanafanya mpk appearance
Mbona hatuoni msamaha wa kupata CPAs & alike?
The issue ni kwamba kama kuna exemption viwekwe vigezo vilivyo wazi ni viwe wazi kwa wote wa private na public sector waone kama kuna mtu ataenda kwenye hiyo Shule yao.
Llb na akasome law school afaulu aapishwe na jaji mkuuNaomba kuuliza maswali mepesi haya.
1. Kwa utaratibu wa sasa ili mtu awe wakili inahitaji vigezo gani?
2. Hiyo Shule ya Sheria ilianzishwa kwa malengo gani?
Unamaanisha hawaruhusiwi? OSG ni nini kwaniUmejenga hoja kwa kiwango cha PhD, lakini naomba nikukosoe osg wale wenye degree tu hawaridhishwi kwenda Court,
Yeye si alipata kwa jasho brooo p. Na alitutangazia humu kipindi kile eti P. Am ready to be correctedPascal Mayalla unaitwa huku. Yaani wewe ukiona vitu vinakuhusu unajikausha.
Njoo na cheti cha LST kabisa na list ya idadi ya kesi ulizosimamia na ulizoshinda.
-Wanaenda mahakama kuu kuhoji uhalali wa Sheria ya mawakili ilivyofanyiwa marekebisho na kutoa msamaha kwa baadhi ya watuMngekuwa hamna wasiwasi msingeenda Mahakamani. Hiyo panic ya kukimbilia Mahakama kuu inaonyesha wazi kuna kitu kinawanyima usemi nyie.
Wenye degree ya LLB wanaajiriwa kama Law secretary na sio state attorneyUnamaanisha hawaruhusiwi? OSG ni nini kwani
Umeandika hawarudhushwi ndio nilitaka kujua ni typing error au ulikusudia hivyohivyo?Wenye degree ya LLB wanaajiriwa kama Law secretary na sio state attorney
Namaanisha hawaruhusiwiUmeandika hawarudhushwi ndio nilitaka kujua ni typing error au ulikusudia hivyohivyo?
Bunge likitunga sheria ni halali, wakifanya wao inakuwa kinyume cha Katiba? Katiba hiyohiyo ndio inayolipa Bunge mamlaka ya kufanya marekebisho ya sheria, sasa hapo kosa liko wapi?-Wanaenda mahakama kuu kuhoji uhalali wa Sheria ya mawakili ilivyofanyiwa marekebisho na kutoa msamaha kwa baadhi ya watu
- wanaamini kuwa kwa kufanya hivyo ni kuvunja Katiba
Bunge likitunga sheria ni halali, wakifanya wao inakuwa kinyume cha Katiba? Katiba hiyohiyo ndio inayolipa Bunge mamlaka ya kufanya marekebisho ya sheria, sasa hapo kosa liko wapi?
Kama limefanyika hilo kwa kufuata sheria dawa si ilikuwa kuhoji uhalali wa sheria hiyo? Kwa nini mnahoji jambo lililofanyika kwa kufuata sheri? Au hamkuwahi kufikiria kuwa watu watakuja kuitumia? 😁-
- hapana sio sahihi, sio mara ya Kwanza mawakili/ watu kuhoji uhalali wa Sheria Fulani iliyotungwa na bunge.
- ndio maana kuna Sheria inaitwa basic Rights and duties (enforcement) act, isome hiyo Sheria unatoa haki za kimsingi za kupinga hadi Sheria
Sawa, basic rights act ipo na tunaijua, lakini mbona wanaitumia kwa ubaguzi? Mbona hawajaenda kupinga sheria zingine kandamizi zinazoumiza wananchi wa kawaida, wameona waende kupinga hii tu inayohusu maslahi na wivu wao wa kikazi?-
- hapana sio sahihi, sio mara ya Kwanza mawakili/ watu kuhoji uhalali wa Sheria Fulani iliyotungwa na bunge.
- ndio maana kuna Sheria inaitwa basic Rights and duties (enforcement) act, isome hiyo Sheria unatoa haki za kimsingi za kupinga hadi Sheria
Tayali wamsheitengua saiv ni wao kutolewa uwakili waoKama limefanyika hilo kwa kufuata sheria dawa si ilikuwa kuhoji uhalali wa sheria hiyo? Kwa nini mnahoji jambo lililofanyika kwa kufuata sheri? Au hamkuwahi kufikiria kuwa watu watakuja kuitumia? 😁
- unahojiwa uhalali wa Sheria ambao umesababisha kuapishwa mawakili wasiosoma law school, umeelewa?Kama limefanyika hilo kwa kufuata sheria dawa si ilikuwa kuhoji uhalali wa sheria hiyo? Kwa nini mnahoji jambo lililofanyika kwa kufuata sheri? Au hamkuwahi kufikiria kuwa watu watakuja kuitumia? 😁