Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Umejenga hoja kwa kiwango cha PhD, lakini naomba nikukosoe osg wale wenye degree tu hawaridhishwi kwenda Court,
 
-Wanaenda mahakama kuu kuhoji uhalali wa Sheria ya mawakili ilivyofanyiwa marekebisho na kutoa msamaha kwa baadhi ya watu
- wanaamini kuwa kwa kufanya hivyo ni kuvunja Katiba
Bunge likitunga sheria ni halali, wakifanya wao inakuwa kinyume cha Katiba? Katiba hiyohiyo ndio inayolipa Bunge mamlaka ya kufanya marekebisho ya sheria, sasa hapo kosa liko wapi?
 
  • hapana sio sahihi, sio mara ya Kwanza mawakili/ watu kuhoji uhalali wa Sheria Fulani iliyotungwa na bunge.
  • ndio maana kuna Sheria inaitwa basic Rights and duties (enforcement) act, isome hiyo Sheria unatoa haki za kimsingi za kupinga hadi Sheria
-
 
Kama limefanyika hilo kwa kufuata sheria dawa si ilikuwa kuhoji uhalali wa sheria hiyo? Kwa nini mnahoji jambo lililofanyika kwa kufuata sheri? Au hamkuwahi kufikiria kuwa watu watakuja kuitumia? 😁
 
Sawa, basic rights act ipo na tunaijua, lakini mbona wanaitumia kwa ubaguzi? Mbona hawajaenda kupinga sheria zingine kandamizi zinazoumiza wananchi wa kawaida, wameona waende kupinga hii tu inayohusu maslahi na wivu wao wa kikazi?
 
Kama limefanyika hilo kwa kufuata sheria dawa si ilikuwa kuhoji uhalali wa sheria hiyo? Kwa nini mnahoji jambo lililofanyika kwa kufuata sheri? Au hamkuwahi kufikiria kuwa watu watakuja kuitumia? 😁
Tayali wamsheitengua saiv ni wao kutolewa uwakili wao

Case ya Amina Mwaluko dhidi ya Mwanasheria Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…