Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

Duuh!Thanks for confirming.

Ndugu majini wapo sehem nyingi tu hata makanisani, miskitini, maofisini, mashuleni na kadha wa kadha mkuu.
 
Sasa mkuu hapo si panaweza pakawas chanzo cha udanganyifu?Kama ulivyosema hakuna kitabu kilichokataza je kuna kitabu kilichoruhusu kwa uhakika?Tunahitaji kuziponya roho zetu na elimu ni nyingi.

Mkuu, kama kitu hakijakatazwa unadhani kwa uelewa wako itakuwaje kinyume chake.

Mathalan, tuchukulie labda wee ni dereva ilhali kiuhalisia waweza kuwa hujawahi kuendesha gari hata siku moja ila kama umeenda sehem ukaona sign inakukataza kuwa usiegeshe gari hapa huwezi kuegesha gari hapo, kwa hiyo kwa akili na uelewa wako utatafuta kibao au sign ambayo itakuruhusu kuwa egesha gari hapa ndio uegeshe gari na usipoona hiyo sign au hiko kibao utaondoka hilo sehem usiegeshe gari eti kisa tu kwa kuwa hakuna kibao au hujaona kibao kinachokuruhusu kuegesha gari ?.
 
Najua kuwa wakiingia masjid huwa wanasalimia viumbe hao wasioonekana kwasababu wanaamini na wao huenda kuabudu pia. Hiyo haimaanishi kuwa naviamini hivyo viumbe. Ila naujua huo utaratibu vizuri sana.

Nalazimika kusema kuwa uelewa wako ni mpana mno katika masuala ya ulimwengu na nakupa HONGERA SANA juu ya hili.

Ni wachache mno wanaoweza kung'amua jambo hilo kuwa viumbe wameumbwa na pia wanatakiwa kumuabudu MUNGU na ndivyo ilivyo hata kwa MALAIKA NA MAJINI kuwa na wao pia humuabudu MUNGU na pia huingia kwenye nyumba za IBADA kwa lengo la kuabudu kama tufanyavyo BINADAM ila wao ni kwamba hawaonekani tu, lakini kutoonekana kwao hakuwazuii wao kuacha kumuabudu MUNGU wetu mkuu aliyetuumba na pia si miskitini tu, huweza kuabudu popote wanapoona wao wanafaa.

Cc Aqua
 
Last edited by a moderator:
Najua kuwa wakiingia masjid huwa wanasalimia viumbe hao wasioonekana kwasababu wanaamini na wao huenda kuabudu pia. Hiyo haimaanishi kuwa naviamini hivyo viumbe. Ila naujua huo utaratibu vizuri sana.
[h=2]
ADH-DHARIYATm 51:56 "
And I did not create the jinn and mankind except to worship Me".Katika kufuatilia kwangu elimu kuhusu majini ipo kwa wingi katika uislam,na huko wanaamini kuna majini wazuri na majini wabaya.Sasa mambyo ya imani yanahitaji kutenga muda kujua vitu kwa undani.[/h] Kuna jambo limejitokeza likikaa vizuri nitakuja na maelezo kuhusu hawa viumbe
 
Mi sio na wala sijawahi kuwa muislamu
 
Mungu yuko wapi? Na jehanam ni nini? Dini zenyewe mnazo abudu nizakuletwa na majahazi hamjui nanikaanzisha na lengo lake ni nini? Yote biashara msituzingue!!!!!!

Ila NDUKI hafundishi dini kwenye uzi huu,
 
Last edited by a moderator:
Ila NDUKI hafundishi dini kwenye uzi huu,

teh teh teeeh.... umenifurahisha sana.
ila ninavyojua dini huwa zinamalengo mazur tu sema waafrika wengi zimewafanya wawe malofa. yani walichofanya wazungu na waarabu ni mfano wa kumpa mtu kitu alafu hajui kukitumia.
Kwa hiyo ukiona mtu anakukemea kwa jina la yesu au kukuona najisi, mpongeze sana maana hapo ndipo alipoelewa sana na uwezo wake wa kufikiri ulipoishia#
 
Sawa ukikakaa vizuri karibu tu ndugu pasina kukosa, we are here for you.
 
Mungu yuko wapi? Na jehanam ni nini? Dini zenyewe mnazo abudu nizakuletwa na majahazi hamjui nanikaanzisha na lengo lake ni nini? Yote biashara msituzingue!!!!!!

Kwani wee ni DINI gani au huna dini...?.
 
Ila NDUKI hafundishi dini kwenye uzi huu,

Na pia angejua maana ya DINI asingeandika hivyo alivyoandika tatizo hajui natumai nini maana ya DINI ndio maana...!!.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teeeh.... umenifurahisha sana.
ila ninavyojua dini huwa zinamalengo mazur tu sema waafrika wengi zimewafanya wawe malofa. yani walichofanya wazungu na waarabu ni mfano wa kumpa mtu kitu alafu hajui kukitumia.
Kwa hiyo ukiona mtu anakukemea kwa jina la yesu au kukuona najisi, mpongeze sana maana hapo ndipo alipoelewa sana na uwezo wake wa kufikiri ulipoishia#

Exactly mkuu...!.
 
Its Very Easy Way To Communicate With Them, Nilikuwa Nafikiria Kushusha Huu Uzi Lakini Sio Mbaya Vile Umeushuka Nilivyotegemea Ungeshuka... Nimeona Kuna Kiumbe Hapo Kaongea Kitu Anadai Kwa Nini Usimuombe Mungu Akupe Roho Zake Safi Zikuongoze... Kasahau Kuwa Wale Wanaojiita Manabii Na Wenye Visions Zingine Hutoka Kwa Majini? Kila Kitu Mwenyezi Mungu Kapanga Na Kumaliza, Sawa Na Barabara Mbili Rough Na Rami, Popote Upitapo Anajua Mwisho Wako, Swali Ni Je? Utapita Rough Road Ukiwa Unakimbia Au Unatembea? Je Utapita Rami Ukikimbia Huku Ukiwa Makini Au Utaenda Roughly Safari Yako Iharibike? All In All Je Utafika Salama??

Nashangaa Kuona Padre Anakemea Mapepo Ya Wenzie Yake Mamichanga Anafuga Ndani!! Na Shehe Anakataza Wenzie Wasile Haramu Wakati Ndio Kitoweo Chake Cha Usiku,
Je, Utawatumia Hawa Majini Kutibu Au Kuuwa,?
Hilo Ndio Swali Tulioachiwa Hata Kwenye Vitabu Vya Dini.. Wherever You Go Choose A Way, Keep Left Or Right....

"Rakims"
 
Una maana gani sjakuelewa unachomaanisha labda ungefafanua walau kama kweli unamaanisha ulichokimaanisha dada. Na je, ni kweli unahitaji kuwa nao, au unao, au unataka kuwaita kwa minajili gani labda. KARIBU.

Nimekutumia pm nahitaji mawasiliano yako please
 
nitumie mawasiliano kwa pm nitakutafuta, i need some assistance and clarification from you
 
Back
Top Bottom