Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu hapo si panaweza pakawas chanzo cha udanganyifu?Kama ulivyosema hakuna kitabu kilichokataza je kuna kitabu kilichoruhusu kwa uhakika?Tunahitaji kuziponya roho zetu na elimu ni nyingi.
Najua kuwa wakiingia masjid huwa wanasalimia viumbe hao wasioonekana kwasababu wanaamini na wao huenda kuabudu pia. Hiyo haimaanishi kuwa naviamini hivyo viumbe. Ila naujua huo utaratibu vizuri sana.
[h=2]Najua kuwa wakiingia masjid huwa wanasalimia viumbe hao wasioonekana kwasababu wanaamini na wao huenda kuabudu pia. Hiyo haimaanishi kuwa naviamini hivyo viumbe. Ila naujua huo utaratibu vizuri sana.
[h=2]ADH-DHARIYATm 51:56 "And I did not create the jinn and mankind except to worship Me".Katika kufuatilia kwangu elimu kuhusu majini ipo kwa wingi katika uislam,na huko wanaamini kuna majini wazuri na majini wabaya.Sasa mambyo ya imani yanahitaji kutenga muda kujua vitu kwa undani.[/h] Kuna jambo limejitokeza likikaa vizuri nitakuja na maelezo kuhusu hawa viumbe
Ndugu yangu,sijui imani yako ya dini,lakini kwa waislamu kisheria ni HARAMU kupashana habari baina ya wanadamu na majini.
Kwani hii ni nini ndugu, sio elimu ?.
Ila NDUKI hafundishi dini kwenye uzi huu,
[h=2]ADH-DHARIYATm 51:56 "And I did not create the jinn and mankind except to worship Me".Katika kufuatilia kwangu elimu kuhusu majini ipo kwa wingi katika uislam,na huko wanaamini kuna majini wazuri na majini wabaya.Sasa mambyo ya imani yanahitaji kutenga muda kujua vitu kwa undani.[/h] Kuna jambo limejitokeza likikaa vizuri nitakuja na maelezo kuhusu hawa viumbe
teh teh teeeh.... umenifurahisha sana.
ila ninavyojua dini huwa zinamalengo mazur tu sema waafrika wengi zimewafanya wawe malofa. yani walichofanya wazungu na waarabu ni mfano wa kumpa mtu kitu alafu hajui kukitumia.
Kwa hiyo ukiona mtu anakukemea kwa jina la yesu au kukuona najisi, mpongeze sana maana hapo ndipo alipoelewa sana na uwezo wake wa kufikiri ulipoishia#
Una maana gani sjakuelewa unachomaanisha labda ungefafanua walau kama kweli unamaanisha ulichokimaanisha dada. Na je, ni kweli unahitaji kuwa nao, au unao, au unataka kuwaita kwa minajili gani labda. KARIBU.