Black Jesus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 256
- 10
Hongera Bi Aisha kuweka mambo hadharani .
wenye wivu na wajichome
Hongera Dr Aisha Kigoda na Mhe Seif Khatibu kwa kudumisha muungano wa Tanzania bara na Tanzania visiwani (Zanzibar)
Wanajamvi naomba kuelimishwa kuhusiana na penzi la hawa waheshimiwa.
[1] Mheshimiwa seif kwa umri alionao lazima atakuwa ana mke/wake na watoto.Je Dr kigoda atakuwa mke wa ngapi ?.
[2]Dr Kigoda ukimwangalia usoni hakosi watoto na pengine aliwahikuolewa au alizaa tu watoto nje ya ndoa.naelewa kuwa na watoto hakuzuii kuolewa au kuoa lakini si vibaya tukapata historia fupi ya hawa waheshimiwa kwasababu ni viongozi wetu.
[3]Waheshimiwa tayari wameshafunga ndoa au wako kwenye matayarisho ya kufunga ndoa ?.
Ndoa alishafunga long time ago huko Tanga. Seif ana mke mkubwa. Dr. Kigoda ana watoto watatu au wanne kama sikosei na wajukuu tayari!!!
Aisha Kigoda ni Medical Assistant jamani!!! Anajiita Doctor, sijui ni sahihi. Hebu wenye proff yao watujuze namna Initials zao ninaenda. Maana clinicians nao wanajiita Doctors. Ndiyo maana na akina maji Marefu nao wanajiita Doctors!!! Kuna vinyozi nao wanajiita Dr. Yaani tabu tupu!!! Watu wanasota miaka mitano halfu wengine wanatumia heshima zao bila darasa la maana!!!
Seif akipeta Urais Zanzibar 2010. Dr. Aisha "First Lady" ZNZ, Inshallah.
Aargh!Honger Dr.Aisha umeonyesha kuwa wewe ni mwanamke uliyekamilika coz hata uwe na pesa au wazifa mkubwa serikalini lakini mapenzi ni muhimu kwa kila mtu thats what Dr Aisha has shown,I like that!
Ndoa alishafunga long time ago huko Tanga. Seif ana mke mkubwa. Dr. Kigoda ana watoto watatu au wanne kama sikosei na wajukuu tayari!!!
Aisha Kigoda ni Medical Assistant jamani!!! Anajiita Doctor, sijui ni sahihi. Hebu wenye proff yao watujuze namna Initials zao ninaenda. Maana clinicians nao wanajiita Doctors. Ndiyo maana na akina maji Marefu nao wanajiita Doctors!!! Kuna vinyozi nao wanajiita Dr. Yaani tabu tupu!!! Watu wanasota miaka mitano halfu wengine wanatumia heshima zao bila darasa la maana!!!
Ndoa alishafunga long time ago huko Tanga. Seif ana mke mkubwa. Dr. Kigoda ana watoto watatu au wanne kama sikosei na wajukuu tayari!!!
Aisha Kigoda ni Medical Assistant jamani!!! Anajiita Doctor, sijui ni sahihi. Hebu wenye proff yao watujuze namna Initials zao ninaenda. Maana clinicians nao wanajiita Doctors. Ndiyo maana na akina maji Marefu nao wanajiita Doctors!!! Kuna vinyozi nao wanajiita Dr. Yaani tabu tupu!!! Watu wanasota miaka mitano halfu wengine wanatumia heshima zao bila darasa la maana!!!
Naibu waziri wa Afya Aisha kigoda amezima minongono ya muda mrefu ,baada ya kuamua kuweka wazi Bungeni kuwa waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano mhe Seif khatib ndiye barafu wa moyo wake
mambo yalikuwa hivi
Mwenyekiti wa Bunge mh job Ndugai alimwita naibu waziri, Dr kigoda kuchangia kwa dakika 20 kabla ya waziri wake prof mwakyusa kupewa nafasi ya kuhitimisha hoja hiyo
Baada ya kusimama, Dr kigoda alianza kumshukuru Rais jk kwa kumwamini na kumteua kushikilia wadhifa alionao, alimshukuru bosi wake profesor mwakysa kwa ushirikiano anaompa kazini pia akawashukuru wafanyakazi wnzake
Naibu waziri huyo akamalizia kwa kumshukuru mpenzi wake Mhe Seif khatib ndiye barafu wa moyo wake
By the way, Aisha Kigoda si Doctor, hiyo heshima ameigushi tu! Aisha ni Medical Assistant! Kwa watu makini kama JF na pia Bungeni kumtambua Aisha kama Dr. ni ufisadi wa kielimu ambao ndio unaua professionalism nakuacha nchi ikiendeshwa kimazoea! Bungeni wapo Ma-Dr. wengi ambao wakichunguzwa watajulikana pia ni Feki!
Mbona kulikua na fununu kuwa huyu Aisha Kigoda ni wife wa yule ex-minister wa mipango na uchumi Bw. Kigoda. Ukweli ni upi au kuna katalaka kalikojificha hapo?