Mawaziri ambao sielewi wanafaya nini japo wizara zao ni muhimu sana

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Hello This is a very good afternoon to everyone.

Nije kwenye kiswahili.

Hii nchii toka Mwamba toka Chato aondeke Mawaziri wamekuwa ovyo sana.

Zipo wizara ambazo zina umuhimu mkubwa sana katika nchi yetu kwa mstakabili wa kukuza uchumi lkn wala hao mawaziri sijawahi kuwaelewa nini wanazifanyia hizo wizara hakika.

1 . Huyu waziri wa sijui Viwanda na biashara sijawai kujua huyu mama anafanya nini na impact yake kwenye jamii ya watanzania kazi kujipendekeza kwenye hotuba zake anawaza kutaja jina la Samia mara 200 kwenye hotuba zake. Sijaona la maana alichonacho huyu dada wa Kondoa katka serikali hii. Reference Karikoo case in few days ago.

2. Wizara ya aridhi huyu mama sijui hata kazi yake kubwa nini migogoro kila kukichaa, toka Lukuvi ameondoka Wizara imebaki yatima na akawekwa mtoto wa Msoga ikaonekana itamuharibia political career katolewa chapuu kipenzi cha Mama. Reference budget yake imepita kibishi sana.

3. Mifugo na uvuvi Maskini Toka Mashimba ndaki atolewe pale tunaona huyu mzee wa mkuranga akipiga picha na waarable tuu hata sielewi.

Na weee ongeza za kwakoo.

Wito wangu kwa Rais
Hizo Wizara zitakupeleka ambako siko
Tafuta watu sahihi mfano Lukuvi sio mzee
Tafuta watu wenye kukuletea matokea
La mwisho hili la Bandari sikuungi mkono hata kidogo sitaki kuwa mnafiki
Sikia Sauti ya Watanzania walio wengii
Maana naona Nguvu kubwa inatumika

Sisi Watanzaia tulio wengi swala la bandari hapana.
 
Namba mbili kafungwa kamba shingoni hata akijitahidi namna gani hawezi kufanya lolote japo ni mtu strong
Hapo Wizara ya kitoweo ndipo kwenye shida wengi hatuelewi wanafanya kazi gani
 
Abdallah ulega ni yeye na picha tu πŸ˜ŠπŸ˜€πŸ˜€
 
Wa viwanda na biashara anabebwa na jinsia na dini, na phd yake hakuna kitu! Conflict ndogo ya kkoo hakuna alichoweza! Mfano mwingine wa wasomi wasio na impact!
 
Fedha, Nishati na ICT!
 
Cha muhimu Sa100 alishawaruhusu kutafuna kwa urefu wa kamba zao, baasi...mengine mtajiju!.
 
Mi kwa sasa hata mawaziri wenyewe siwajui..kipindi tuliwajua sababu muda mwingi waliutumia field na kutupa mirejesho..

1.Hamis kigwangallah utamuona anakimbizana mbugani mpaka akagongana na twiga.
2. Mama ndalichako yupo bize kwenye ukarabati wa shule kongwe, vyuo na ujenzi wa madarasa.
3. Lukuvi yupo field kutatua migogoro ya ardhi na kurasimisha hati
4. Ummy bize na usimamizi wa ujenzi wa vituo vya afya, mahospital na zahanati..kusimamia nidhamu za madakatari na kuhakikisha huduma bora.
5. Jaffo bize kukagua miradi mbalimbali Vs value for money.
6. Kalemani ndio sisemi.
7. Kule maji alikuwepo mbawala napo kulikuwa hakupoi hadi wanafokeana na boss wake JPM barabarani.
6. Huku miundo mbinu mpaka kamwelwe akachemsha..akaletwa mwingine..ardhi ilikuwa inafukuliwa kila kona.
7. Huko mambo ya nje nako bize..kila siku wageni.

Ulikuwa moto.
 
Mimi siwaelewi wote kuanzia rais pamoja na serikali yake yote bila kusahau chama chake, CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…