Pre GE2025 Mawaziri Aweso, Bashungwa wakicheza muziki stejini wakiwa na vikapu Kichwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waambiwe tuna matatizo mengi kuliko sherehe wanazofanya.
 
Kwa hali hii hata kesho yetu si ya matumaini πŸ˜™πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Huyo Aweso,anakata mauno ili hali inchi Ina shida kubwa ya maji
Maneno mengi, vitendo sifuri.
 
Duh kweli pesa inaweza kufanya ufanye jambo lolote lile....Hii inchi si yetu tena.
 
Aweso anapata wap nguvu ya kucheza na kucheka wakat watu hawana maji huyu anatuzoea sasa kama Zakayo
Bila waziri hakuna maji?Ni hoja ya kitoto.
Je Katibu Mkuu,wakurugezi wa wizara,wakurugenzi wa mikoa na wilaya,hadi ma engineer na mafundi wao wasiwajibike?Haya mambo ya kusukumwa kusukumwa as if ni watoto wadogo kila mara Watanzania acha uvivu.
Uvivu umezidi ukiongeza na akili zetu za mgando eti lawama kwa waziri!
Complete nonsense, sema tuwafukuze watu wote tuajiri wachina 500 tu au wajerumani 100 nchi itakuwa na maji.
Nchi ya vijitu vivivu vikitegemea maajabu.
 
Wanapata Hela nyingi kwa kuongea uongo mwingi na propaganda. Ukiongezea na hela za madili ya kihuni huni hata ikiwa ni kucheza vifua wazi na bukta tu, watafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…