Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani? [emoji23][emoji23]CCM Wana twerk jamani nyinyi.
Mbona hakuna waziri wa ulinzi hapo.Heshima ya waziri wa ulinzi hakuna hapo.
Ndio maana M23 wametuona kama raisi wetu na ccm.
Yupo! Wanaouita mwenge wa uhuru uteketezwe!Kweli hakika aliyeturoga amekufa
Bila waziri hakuna maji?Ni hoja ya kitoto.Aweso anapata wap nguvu ya kucheza na kucheka wakat watu hawana maji huyu anatuzoea sasa kama Zakayo
Wanapata Hela nyingi kwa kuongea uongo mwingi na propaganda. Ukiongezea na hela za madili ya kihuni huni hata ikiwa ni kucheza vifua wazi na bukta tu, watafanya.Wakuu
Mawaziri wakisakata rhumba
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa ziara ya Rais Samia Mkoani Tanga.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025