Ukitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk
Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Kama kulikuwa na namna katika uteuzi wao ni bora wajitafakari wamuombe Mama abadilishe hizo wizara zipate watu wanao eleweka.
Na kama kuna viongozi wengine wa aina hii basi tuweke mbele maslahi ya Taifa .