So broo wakitoka hao wakae akina nani unazani watafitUkitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk
Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Kama kulikuwa na namna katika uteuzi wao ni bora wajitafakari wamuombe Mama abadilishe hizo wizara zipate watu wanao eleweka.
Na kama kuna viongozi wengine wa aina hii basi tuweke mbele maslahi ya Taifa .
Basi kama kabadilika inapendezaMbona nape ni miongoni mwa mawaziri wanaofanya kazi vizuri kwa sasa..au una muhukumu kwa mambo yake ya zaman?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja, wawili kati yao waache unafiki wa kujipendekeza na mwingine (mmoja) aache kupanga ma-dealIla kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Wazo zuriNape na Wizara yake haina faida yeyote. Nashauri iungwe na wizara zingine. Kazi yake ni kuimba mapambio tu
Hata Urais, Watanzania tunaweza kuongozwa hata na Kibajaji.Hii nchi kila mtu anaweza kuwa waziri!
Hahaa na nimeambiwa na Wajumbe kabadilikaNape anazunguka na helikopta ya TANAPA eti anakagua anuani za makazi hewani!
Ama kweli kutesa kwa zamu.
Uongozi sio rahisi kihivyoHata Urais, Watanzania tunaweza kuongozwa hata na Kibajaji.
Hao uliowataja kwamba hawafai ni akili kubwa na wanafanya vizuri..Ukitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk
Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Kama kulikuwa na namna katika uteuzi wao ni bora wajitafakari wamuombe Mama abadilishe hizo wizara zipate watu wanao eleweka.
Na kama kuna viongozi wengine wa aina hii basi tuweke mbele maslahi ya Taifa .
Nape hana tatizo kabisa...mbali na uswahili wakeMbona nape ni miongoni mwa mawaziri wanaofanya kazi vizuri kwa sasa..au una muhukumu kwa mambo yake ya zaman?
Bila kufukuzwa hatoki mtuUkitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk
Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Kama kulikuwa na namna katika uteuzi wao ni bora wajitafakari wamuombe Mama abadilishe hizo wizara zipate watu wanao eleweka.
Na kama kuna viongozi wengine wa aina hii basi tuweke mbele maslahi ya Taifa .
mbali na uswahili Nape ni mtu aliyejaa ghadhabu sanaNape hana tatizo kabisa...mbali na uswahili wake
Bila kufukuzwa hatoki mtuUkitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk
Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Kama kulikuwa na namna katika uteuzi wao ni bora wajitafakari wamuombe Mama abadilishe hizo wizara zipate watu wanao eleweka.
Na kama kuna viongozi wengine wa aina hii basi tuweke mbele maslahi ya Taifa .
πππmbali na uswahili Nape ni mtu aliyejaa ghadhabu sana