Mawaziri hawa ni bora wajitafakari uwepo wao katika hizo Wizara kwa maslahi mapana ya Taifa

Mwigu, pena na marope ni mawaziri wa kudra za.........
 
Tatizo kubwa la Waswahili HATUTAKI kazi.

Muda wote Ni kufuatilia Nani ANAFANYA Nini, ANAENDA WAPI, RATIBA ZIKOJE?
 
Nape ni mtekelezaji ,ila Mwigulu na Makamba ni mawaziri hovyo kabisa
 
Hawa wote hawakuwa chaguo la JPM alijua kwamba si wachapa kazi bali wapiga dili
 
Na yule mwongo wa msikitini hafai na kale kengine kana mdomo mkubwa sijui ni katambi au kitambi
 
Kumsifia Bashe au Awesu bila kumsifia Mwigulu anaefikiria hela za kuwapa Bashe na Awesu ni upunguani ulio wazi. Sikuwa nikimuelewa Mwigulu huko nyuma ila now ni miongoni mwa mawaziri bora kabisa. Mama anapata nguvu sababu ya Mwigulu mtafuta pesa.
 
Muda utawaumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…