love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Wakuu wadanganyika naomba kufahamu mwenye connection na mtaalam wa marope sababu naona accuracy yake ni 99.9%. Akiongea na boss jua boss hachomoi.
Sasa bandugu na mimi nina boss wangu nataka nimfanye kama marope alivyomfanya chifu asiweze kuchomoa kwa kila nitakalo mpendekezea hata ni nikumuambia auze kampuni, pesa anipe mimi.
Marope alishawahi kufeli mara moja tu, pale alipoondoa tozo kwenye mafuta sijui alikosea masharti au mtaalam wa madelu alimzidi kete ndio maana napendekeza hata ikishindikana kumpata mtaalam wa marope basi wa madelu pia anaweza kuwa na msaada na yeye naona anaupiga mwingi.
Hata kama una ukaribu na mwana vita yule dada yake marope nasikia anakoneksheni vilinge vyote Afrika
Mashariki na kati mpaka kusini mwa jangwa la sahara bondeni kwa madiba.
Naomba kuwasilisha
NB: Mganga wa kweli ni Mungu huko tunazuga zuga tu.