Mawaziri hawa wanafanya nini cha ziada mpaka kuaminiwa na Rais?

Mawaziri hawa wanafanya nini cha ziada mpaka kuaminiwa na Rais?

Mzee wa maruhani huyo na atakuwa wa kimataifa na wana Umoja wao wa kitabibu wanajuana!

Na hao wazee ni wazee wa chama kama shehe yahya marehemu!
Ni kweli anatibu kwa maruhani, yaani popote ulipo anakutibu bila ya kumfwata ( inayegemea na uzito wa kazi lakini)

Binafsi nilikuaga siamini haya mambo, ila huyu mzee alichotusaidia ndio ikawa mwanzo wa kuamini kumbe sayansi ya giza ipo na inafanya kazi.
 
Back
Top Bottom