Mawaziri hawa wanafanya nini cha ziada mpaka kuaminiwa na Rais?

Mawaziri hawa wanafanya nini cha ziada mpaka kuaminiwa na Rais?

Wakongoman wengi ni maruhani tu na wapo hata Bongo!

Kuna MMOJA anaponyesha ukimwi KWA dozi ya siku 30!ndio alimsaidiaga prof.Sarungi kuingia Bungeni na huyu dokta alikuwa pale mhimbili kwenye kitengo maalumu badae akaondoka pale!

Maruhani au majini ndio uhakika KWA wanaotaka vyeo hata msoga atakua ni Hayo hata mzee mwinyi atakua kameza hazina yao ya kuishi miaka mingi Sana!

Waislamu ni waswahili Sana wanauelewa ulimwengu kuliko hata christians!

HUYO wa Mwigulu simjui!!

Pm hupo Mkuu?
 
Kuwa muadilifi na mchapa kazi kwa weledi kama January makamba au nchemba hiyo ndo dawa pekee. Haya mengine ni mazingaombwe tu
 
Hao ni wachawi wa kutupwa. Muda si mrefu wataanza kurogana wenyewe kwa wenyewe kama hawajaanza bado. Lile marope senior sura lake ukiliangalia tu unamuona shetani mwenyewe. Uzuri ni kwamba wapo kwenye muda wa kuazima, soon wote wanasahaulika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama unajambo lako sio lazima hadi upate connection ndio lifanikiwe, vinginevyo unaoenda anakula pesa yako bure, vinginevyo huyu waweza mwita kanjanja🤔
 
Mimi kwa kukusaidia naweza kukuelekeza kwa Baba yake Wazo hill,Dar es salaam,ambapo itakuwa rahisi kumpata January kupitia ushawishi wa Baba yake.
Hawezi kuniambia mtaalam wake kwa mdomo wake ni kuuza nyaraka za siri
 
Wakuu wadanganyika naomba kufahamu mwenye connection na mtaalam wa marope sababu naona accuracy yake ni 99.9%. Akiongea na boss jua boss hachomoi.

Sasa bandugu na mimi nina boss wangu nataka nimfanye kama marope alivyomfanya chifu asiweze kuchomoa kwa kila nitakalo mpendekezea hata ni nikumuambia auze kampuni, pesa anipe mimi.

Marope alishawahi kufeli mara moja tu, pale alipoondoa tozo kwenye mafuta sijui alikosea masharti au mtaalam wa madelu alimzidi kete ndio maana napendekeza hata ikishindikana kumpata mtaalam wa marope basi wa madelu pia anaweza kuwa na msaada na yeye naona anaupiga mwingi.

Hata kama una ukaribu na mwana vita yule dada yake marope nasikia anakoneksheni vilinge vyote Afrika
Mashariki na kati mpaka kusini mwa jangwa la sahara bondeni kwa madiba.

Naomba kuwasilisha

NB: Mganga wa kweli ni Mungu huko tunazuga zuga tu.
Aliyefel wa kwanza ni yule aliyewateua yaan mama hasikii wala haambiwi kuhusu hawa vija kwa kifupi kafa kaoza
Marope
Bao la mkono
Nchemba
 
Aliyefel wa kwanza ni yule aliyewateua yaan mama hasikii wala haambiwi kuhusu hawa vija kwa kifupi kafa kaoza
Marope
Bao la mkono
Nchemba
Nayule jamaa wa kuwatua akina mama ndoo kichwani. Zaidi ya maneno kibao hamna kitu pale ningonjera nyingi tu
 
Kuna babu mmoja wa kipemba huyu mzee ni konki aisee, kuna vigogo serikalini wanamlea huyu mzee, yupo kariakoo hapo amekodiwa apartment jengo fulani.

Alitambulika rasmi baada ya kumsaidia mmoja wa wanafamilia ya mzee ruksa, hadi sasa vigogo wamemshikilia haswa yaani huwezi kumpata kirahisi.

Japokua yeye huyo mzee anamoyo wa kusaidia sana, kwa ambao hawana uwezo hua anakusaidia tu, maana huna uwezo wa kumlipa.
Haha, kuna watu wanatafutwa hapa[emoji1].
 
Back
Top Bottom