Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Mar 5, 2023 #41 Mzalendo120 said: Nayule jamaa wa kuwatua akina mama ndoo kichwani. Zaidi ya maneno kibao hamna kitu pale ningonjera nyingi tu Click to expand... "Kuwatua akina mama ndoo kichwaki" Haka ka phrase huwa kananichekesha sana[emoji23]
Mzalendo120 said: Nayule jamaa wa kuwatua akina mama ndoo kichwani. Zaidi ya maneno kibao hamna kitu pale ningonjera nyingi tu Click to expand... "Kuwatua akina mama ndoo kichwaki" Haka ka phrase huwa kananichekesha sana[emoji23]
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 2,410 Mar 5, 2023 #42 Mac Alpho said: "Kuwatua akina mama ndoo kichwaki" Haka ka phrase huwa kananichekesha sana[emoji23] Click to expand... Kanamwaga nahau kibao ili kakubaliwe lakini ngoma imekua nzito kiu inazidi
Mac Alpho said: "Kuwatua akina mama ndoo kichwaki" Haka ka phrase huwa kananichekesha sana[emoji23] Click to expand... Kanamwaga nahau kibao ili kakubaliwe lakini ngoma imekua nzito kiu inazidi
Premij canoon JF-Expert Member Joined May 27, 2018 Posts 1,203 Reaction score 2,771 Mar 16, 2023 #43 NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Mzee wa maruhani huyo na atakuwa wa kimataifa na wana Umoja wao wa kitabibu wanajuana! Na hao wazee ni wazee wa chama kama shehe yahya marehemu! Click to expand... Ni kweli anatibu kwa maruhani, yaani popote ulipo anakutibu bila ya kumfwata ( inayegemea na uzito wa kazi lakini) Binafsi nilikuaga siamini haya mambo, ila huyu mzee alichotusaidia ndio ikawa mwanzo wa kuamini kumbe sayansi ya giza ipo na inafanya kazi.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Mzee wa maruhani huyo na atakuwa wa kimataifa na wana Umoja wao wa kitabibu wanajuana! Na hao wazee ni wazee wa chama kama shehe yahya marehemu! Click to expand... Ni kweli anatibu kwa maruhani, yaani popote ulipo anakutibu bila ya kumfwata ( inayegemea na uzito wa kazi lakini) Binafsi nilikuaga siamini haya mambo, ila huyu mzee alichotusaidia ndio ikawa mwanzo wa kuamini kumbe sayansi ya giza ipo na inafanya kazi.