S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Kwa nini wasigeuze gesi kuwa kimiminika au ni kusingizia tu wengine kwamba mafuta yamepanda bai na wao wapo wapo tu wamelala fofofo... mafuta yamepanda bei na gesi ipo, hakuna maarifa ya kuigeuza gesi iwe mafuta mbadala... (bila kujali muda) akili na maarifa matopeni kwa kweli... sijui lini Mungu atatuondolewa hawa watawala wetu na atupe wenye maarifa ya kutupeleka kwenye kulamba asali na maziwa...Mchawi ni CCM wala siyo mawaziri.Msikilize mwenyekiti wa CCM hapa🐒🐒🐒View attachment 2183946