Kwa nini wasigeuze gesi kuwa kimiminika au ni kusingizia tu wengine kwamba mafuta yamepanda bai na wao wapo wapo tu wamelala fofofo... mafuta yamepanda bei na gesi ipo, hakuna maarifa ya kuigeuza gesi iwe mafuta mbadala... (bila kujali muda) akili na maarifa matopeni kwa kweli... sijui lini Mungu atatuondolewa hawa watawala wetu na atupe wenye maarifa ya kutupeleka kwenye kulamba asali na maziwa...Mchawi ni CCM wala siyo mawaziri.Msikilize mwenyekiti wa CCM hapaπππView attachment 2183946
[emoji23][emoji23]
waache wale kwa urefu wa kamba zao aisee. who caresKuna taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya CCM hivi karibuni itakutana na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kujadili hali ya uchumi wa Tanzania na upandaji holela ya bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nashauri katika kikao hicho aalikwe Mhe. Shabiby ili awape uzoefu wake katika sekta ya mafuta.