Mawaziri mizigo wanaligharimu taifa na wananchi wanyonge wanataabika. Mkuu wa nchi yupo kimya kana kamba haoni. Hili ni tatizo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022.

Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo kwake ni kipaumbele hata kama raia watahamia Burundi?

Kuna huyu mwingine anaona waTanzania ni wajinga na wapuuzi. Anazunguka kukagua vibao vya anuani za mitaa kwa helkopta bila hata aibu. Pesa nyingi za umma zinatumika bila hata mkuu wa nchi kukemea.

Watanzania tunabamizwa na vitu vizito. Huku mama akiupinga mwingi.
 
Si tulikubaliana tuchague kijani,maana CHADEMA walituchelewesha sana kupata maendeleo.
 
Na leo alikua anaomba msaada wa dola million 80 kuwezesha zoezi la sensa.
Nimemuona anatoa huruma maskini. Dude Linaloitwa The United Republic of Tanzania always huwa linatembea vikikaa vichwa.But sasa ni sawa na kuchoma nyumba iliyoezekwa kwa majani na kujengwa kwa makuti
 
Hii nchi haina mkuu wa nchi. Ina muwakilishi wa mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi alifariki mwaka jana.

Kwa sasa Tanzania tuna mtu ambae ni kama acting president maana hakuna anachofanya. Kazi kutulinganisha Tanzania, nchi ya ulimwengu wa 3, nchi masikini zaidi Duniani na Nchi Tajiri zaidi Duniani.

Sasa hivi huyo mama kila kitu unasikia mbona Marekani kuko hivi, mbona Marekani kuko vile.

Sasa hivi Tanzania tunajiendea tu wenyewe kama watoto wa bata, hakuna muangalizi, atakaeliwa na mwewe aliwe, atakae kufa afe yeye hajali chochote.

Yeye anakwmabia hata akiondoa tozo haisaidii kitu hivyo tuendelee kupigwa tu tozo.

Hii nchi alieturoga alituweza.
 
Mbona na nyie huwa mnalinganisha democray ya usa na ya bongo hapo ngoma droo
 
Si tulikubaliana tuchague kijani,maana CHADEMA walituchelewesha sana kupata maendeleo.
Hivi kweli chadema nyie muongoze nchi hii??? nyie hata ofis hamna....???
 
Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022.

Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo kwake ni kipaumbele hata kama raia watahamia Burundi?

Kuna huyu mwingine anaona waTanzania ni wajinga na wapuuzi. Anazunguka kukagua vibao vya anuani za mitaa kwa helkopta bila hata aibu. Pesa nyingi za umma zinatumika bila hata mkuu wa nchi kukemea.

Watanzania tunabamizwa na vitu vizito. Huku mama akiupinga mwingi.
Siku hizi hakuna wanyonge
 
Back
Top Bottom