Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

View attachment 2645152
Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA).

Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya kuhimiza Uongezaji Thamani na Maendeleo ya Viwanda pamoja na kuhakikisha Afrika haiwi jalala la nguo za Mtumba kutoka nje.

Hii ni mara ya pili kufanyika makubaliano haya, mwaka 2015 Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) walizuia biashara hiyo lakini utekelezaji wake haukufanyika. Nchi ya Rwanda pekee imefanikiwa kuzuia biashara hiyo.

Una maoni gani kuhusu uamuzi huu?
View attachment 2645151
==============

African ministers, on June 1, adopted the protocol that prevents trading second-hand clothes across the continent under the preferences of the African Continental Free Trade Area (AfCFTA).

The decision was taken during the second Ministerial Retreat of the Council of Ministers on the AfCFTA, held in Nairobi, Kenya, to assess the progress and address critical aspects of the agreement’s implementation.

Held under the theme “The Role of the Private Sector in the Implementation of the AfCFTA: Own and Drive AfCFTA,” they discussed the outstanding Rules of Origin on Auto, Textiles and Clothing, estimated tariff revenue losses and the adjustment facility allocations, as well as proposals on front-loading liberalisation of trade in basic agricultural products.

Wamkele Mene, Secretary General of AfCFTA, said that the decision to prevent the trade of second-hand clothes is an important step to encourage value-addition and industrialisation in Africa.

“The decision of the Council of Ministers is a strong message that our single market will not be used as a dumping ground for used clothes coming from outside Africa,” he said.

More importantly, Mene noted that it will significantly protect the African textile industries and promote investment in that critical sector.

In most cases, raw materials for garments are sourced in Africa, manufactured in the northern hemisphere, and when the final product is discarded, it is sent back to Africa as goodwill and due to the quality of garments made from first fashion, the clothing is returned to Africa as waste.

This is not the first time Africans take this move. For instance, in 2015, the East African Community (EAC) Heads of State adopted a three-year gradual process to phase out the importation of second-hand clothes and footwear.

It was deemed to make EAC textile and leather factories self-sufficient to serve the local and international markets, including the African Growth and Opportunity Act (AGOA) market which had kept the window wide open for African exports into the American market the same year.

At that time, EAC accounted for 13 percent of global imports of used clothing amounting to $274m (approx. Rwf271 billion)

Despite other EAC member countries rescinding on the decision at a later stage due to the US action of removing these countries from accessing the duty-free AGOA market, Rwanda kept a firm stance.

From there on, Rwanda deliberated on a strategy to develop the textiles, apparel and leather industrial sectors and a blueprint was consequently designed on how to implement such a strategy.

The country put in place a Made-in-Rwanda strategy to boost domestic production and stimulate local consumption habits, which has gained momentum up to now with more Rwandans styling their locally manufactured attire at different occasions.

However, the question remains on meeting the affordability and quality improvement of products from local textile industries.

NEWTIMES.RW
Nia yao ni zipande bei na siyo marufuku.
 
Jeuri ya utekelezaji wanayo?
 
Kwanza mawaziri wote wa Afrika ni mijizi tu! Yanavaa nguo spesho kwa sababu yana pesa ya kununulia ambayo basically ni pesa yetu waliyokwapua. Ulaya kuna maduka ya mitumba na wenyeji hununua! Badala ya kukaa na kuangalia jinsi ya kukomesha wizi unaowahusu, wanakaa kuzungumzia mitumba! Na wameona hicho ndo kipau mbele cha waafrika. Jinga kabisa!
 
Ngoja watu wa kaskazini waje maana hata boxer wanatukia mtumba.😅
 
Maamuzi kama hayo yanasababishwa na kuwatanguliza viongozi ambao hawajawahi kuishi maisha ya chini au niseme maisha ya uraiani wakajua jinsi wananchi wanavyoteseka.
Tungeanza kuwauliza wao; Kati ya hao mawaziri waliohudhuria ni yupi aliyevaa suti iliyotengenezwa Nchini mwake? na kama wamevaa Suti au nguo kutoka nje ya Nchi; wanawezaje kusema wanaboot soko la ndani huku wao wenyewe hawajaweza
Kimsingi bado Nchi zetu zina umasikini wa hali ya juu ni wale tu waliokulia familia bora hawarwezi kuelewa hii
Hivi wanajua hadi leo kuna wananchi/watoto wanatembea peku au kuvaa nguo za viraka?
Inamaana hata hiyo mitumba bado ni bei juu kwao sembuse nguo mpya?
Kimsingi hakuna anayependa kuvaa mitumba au niseme hakuna mtu anayependa shida; tatizo ni uchumi kuwa duni....mitumba itajiphase out yenyewe taratibu uchumi unavyo kua.......
Hawajui kuwa huko vijijini Kuna watu wanavaa mitumba iliyovaliwa na watu wa Dar
 
Naunga mkono hoja.. tena mitumba mingi ni ile wanakuwa wamevaa mas/oga na mafirauni wengine
 
Ndio mana wanatudharau,,,pamba tunayo ila tunavaa mtumba,Pamba inaenda nje kutengenezea nguo zao mwisho wasiku tunapewa mitumba,ningekua rais ningeshapiga marufuku siku nyingi!
 
Tatizo la wasomi wa kiafrika wanafikiria kuanzia mwisho kurudi nyuma na sio kuanzia mwanzo kwenda mbele...
Ndio unaona mtu anapiga mitumba marufuku ili watu wanunue nguo mpya wakati viwanda vilivyopo haviwezi kukidhi hata nusu ya mahitaji
 
Wanapoteza muda tu kujadili hilo suala ambalo inaeleweka utekelezaji wake hauwezekani na pili Marekani hawezi kukubali ataingilia kati kama alivofanya before.
 
Upuuzi Mtupu.
Mnapiga Vita Mitumba Ingali Viwanda Vyakuzalisha Hizo Nguo Mpya Bado Mnategemea Vya Wenzetu China Na Nchi Nyingine za Nje.
 
Bei iwe km ya mtumba, vinginevyoo tutatembea uchi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom