Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

Nia yao ni zipande bei na siyo marufuku.
 
Jeuri ya utekelezaji wanayo?
 
Kwanza mawaziri wote wa Afrika ni mijizi tu! Yanavaa nguo spesho kwa sababu yana pesa ya kununulia ambayo basically ni pesa yetu waliyokwapua. Ulaya kuna maduka ya mitumba na wenyeji hununua! Badala ya kukaa na kuangalia jinsi ya kukomesha wizi unaowahusu, wanakaa kuzungumzia mitumba! Na wameona hicho ndo kipau mbele cha waafrika. Jinga kabisa!
 
Ngoja watu wa kaskazini waje maana hata boxer wanatukia mtumba.😅
 
Hawajui kuwa huko vijijini Kuna watu wanavaa mitumba iliyovaliwa na watu wa Dar
 
Move nzuri kiimani na kiuchumi.
 
Naunga mkono hoja.. tena mitumba mingi ni ile wanakuwa wamevaa mas/oga na mafirauni wengine
 
Ndio mana wanatudharau,,,pamba tunayo ila tunavaa mtumba,Pamba inaenda nje kutengenezea nguo zao mwisho wasiku tunapewa mitumba,ningekua rais ningeshapiga marufuku siku nyingi!
 
Ndio mana wanatudharau,,,pamba tunayo ila tunavaa mtumba,Pamba inaenda nje kutengenezea nguo zao mwisho wasiku tunapewa mitumba,ningekua rais ningeshapiga marufuku siku nyingi!
Tatizo la wasomi wa kiafrika wanafikiria kuanzia mwisho kurudi nyuma na sio kuanzia mwanzo kwenda mbele...
Ndio unaona mtu anapiga mitumba marufuku ili watu wanunue nguo mpya wakati viwanda vilivyopo haviwezi kukidhi hata nusu ya mahitaji
 
Wanapoteza muda tu kujadili hilo suala ambalo inaeleweka utekelezaji wake hauwezekani na pili Marekani hawezi kukubali ataingilia kati kama alivofanya before.
 
Upuuzi Mtupu.
Mnapiga Vita Mitumba Ingali Viwanda Vyakuzalisha Hizo Nguo Mpya Bado Mnategemea Vya Wenzetu China Na Nchi Nyingine za Nje.
 
Bei iwe km ya mtumba, vinginevyoo tutatembea uchi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…