Mimi sishangai kwa huyu Lazaro kuwa jumba la thamani hiyo,kwasababu ana pesa ndefu kabla hata hajawa mbunge na hatimaye waziri,japo hili halimzuhii kufuja mali za umma.Na kama mchangiaji mmoja alivyododosa tatizo ni utumiaji rasilimali za nchi kufanya mambo binafsi kama hayo.kama mleta uzi ana ushahidi hata wa kimazingira tu,aumwage hapa ili huu uzi usikae kiswaziswazi.
Kumbe ana nyumba nyingine tena! Mi nyumba ninayoijua iko barabara ya Njiro kabla ya Tiger Supermarket upande wa kulia wa barabara inayoelekea Njiro. Hii ndiyo nyumba aliyokuwa akiishi na Faraja Kota yule mlimbwende wetu wa Tanzania
Hivi huyu bwana si mlokole?
mawaziri wana tabia ya kujilipiza allowance nyingi kupita vipato vyao vya halali. Allowance ya siku moja inazidi hata 7m
Hapa Tz mwanasiasa anakuwa ktk cheo fulani ktk muda halafu then anajulimbikizia mali utadhani ametumika 50yrs. Utajiri sio dhambi ila tunahoji utajiri usio halali kwani vigezo vya kawaida vinakataa (kulinganisha na hiyo proportion of wealth).
Pia ni udhaifu mkubwa sana wa UWT, haina uwezo wa kuchunguza, kuchuja au kusimamia maslahi ya nchi hii kwa sasa. Kikwete ana madhaifu makubwa lakini tungeona TISS' role ktk kupunguza madudu haya. Ingevunjiwliwa mbali. Hata jeshi la Polisi nalo ni ku-disband na kuanza upya.
nawasihi tuache wivu na fitina,,,mambo haya ndio yanasababisha watu kuwekeza na kuficha fedha nje ya nchi,,,,mimi nina miaka 15 ya utumishi...afisa mdogo,,,mshahara wangu na marupurupu yangu yote,,,leo hayazidi 1.5mil kwa mwezi,,,sijawahi pata take home laki nne,,mimi ni kukopo kukopa na mimi,,nawekeza,,najenga,,mwishon walevi,,wachangia harusi,wasiopitwa na fashion ya magari na mavazi,,,wananiita fisadi,,thaman ya nyumba ile na heka 6 nilizonunua miaka 13 iliyopita,,kibaha kwa eka elfu50,,,mshahara ukiwa laki mbili,,,leo sina hata bajaji,,nikimaliza nitanunua magari,,,si mtaandamana,,,hivi waziri wetu kuwa na heka tatu ni issue,,na nyumba ya mil500,mavaluer wasaidie,,,sitetei ufisadi naangalia logic,,,,zipo mali za kupigia kelele,,hazielezeki,,,,,:yo:zaidi ya mshahara wa waziri na posho zake ambazo haziwezi zidi m7 kwa mwezi. Kuna kipato gani zaidi cha kumuwezesha mtu kujenga nyumba ya b1 kwa kuzingatia na maisha mengine yanaendelea?