mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,171
Kumbe ana nyumba nyingine tena! Mi nyumba ninayoijua iko barabara ya Njiro kabla ya Tiger Supermarket upande wa kulia wa barabara inayoelekea Njiro. Hii ndiyo nyumba aliyokuwa akiishi na Faraja Kota yule mlimbwende wetu wa Tanzania
Mimi hata sioni cja jabu hapa. Kwani bosi wao hajui? Na usalama wa taifa hawjui? Hili ni tatizo la mfmo. Na bado kidogo wataanza kutuchinja na kutula nyama.Baada ya mawaziri wawili wa JK kuhusishwa na umiliki wa majumba/makazi ya mamilioini ya shilingi muda mfupi tu baada ya kushika nafasi zao Waziri mwingine anatajwa kumilimi jumba kubwa ambalo vyanzo vyetu vinakisia thamani yake kuwa ni zaidi ya nusu bilioni. Kutokana na vyanzo hivyo vya kuamika jumba hilo liko kwenye Elkirevi, Kitongoji cha Olorukwa.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya ndani kabisa eneo hilo linadaiwa kuwa lilipatikana baada ya Bw. Nyalandu kununua ardhi yenye eneo la Eka 3 hivi kutoka kwa wanavijiji watano. Jumba lenyewe limejengwa chini ya mwaka mmoja na kukamilikama mwishoni mwa 2011. Jumba limezungushwa na ukuta wa karibu futi 10 na juu yake inadaiwa limewekwa waya wa umeme (electric fence)
Ni kwenye jumba hili ambapo Bw. Nyalandu alifanyia Sherehe ya Mwaka mpya na bila ya shaka ilikuwa ni 'house warming' party. Taarifa hizi zinaendana na zile za mawaziri wengine ambao tayari habari zao za umiliki wa majumba yenye thamani kubwa kuliko vipato vyao na walizopata ndani ya muda mfupi baada ya kuingia madarakani. Mawaziri wengine ni Bw. Maige na Ngeleja ambao wote thamani ya nyumba zao zinakaribia shilingi bilioni 1!
Hata hivyo hadi hivi sasa Tume ya Maadili ya Viongozi haijaonesha kujua mambo haya wala kufuatilia na kuyaweka wazi kama wanazo taarifa na kama kweli vyote hivyo vinaendana na mishahara yao.
Baada ya mawaziri wawili wa JK kuhusishwa na umiliki wa majumba/makazi ya mamilioini ya shilingi muda mfupi tu baada ya kushika nafasi zao Waziri mwingine anatajwa kumilimi jumba kubwa ambalo vyanzo vyetu vinakisia thamani yake kuwa ni zaidi ya nusu bilioni. Kutokana na vyanzo hivyo vya kuamika jumba hilo liko kwenye Elkirevi, Kitongoji cha Olorukwa.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya ndani kabisa eneo hilo linadaiwa kuwa lilipatikana baada ya Bw. Nyalandu kununua ardhi yenye eneo la Eka 3 hivi kutoka kwa wanavijiji watano. Jumba lenyewe limejengwa chini ya mwaka mmoja na kukamilikama mwishoni mwa 2011. Jumba limezungushwa na ukuta wa karibu futi 10 na juu yake inadaiwa limewekwa waya wa umeme (electric fence)
Ni kwenye jumba hili ambapo Bw. Nyalandu alifanyia Sherehe ya Mwaka mpya na bila ya shaka ilikuwa ni 'house warming' party. Taarifa hizi zinaendana na zile za mawaziri wengine ambao tayari habari zao za umiliki wa majumba yenye thamani kubwa kuliko vipato vyao na walizopata ndani ya muda mfupi baada ya kuingia madarakani. Mawaziri wengine ni Bw. Maige na Ngeleja ambao wote thamani ya nyumba zao zinakaribia shilingi bilioni 1!
Hata hivyo hadi hivi sasa Tume ya Maadili ya Viongozi haijaonesha kujua mambo haya wala kufuatilia na kuyaweka wazi kama wanazo taarifa na kama kweli vyote hivyo vinaendana na mishahara yao.
Wivu wa kike ndo nini?umeambukizwa na Mh,Dr. mkapa nakumbuka watu walipolalamikia Mh.Sumaliye kununua lanchi za serikali alitumia neno hilo hilo.Hivi mnaufahamisha umma wa watanzania kuwa wake zenu wana wivu?? kama ndivyo achaneni na nyumba ndogo na wake zenu watapona ugonjwa wa kuwa na wivu.Hivi watanzania lini tutaendelea?, mlitaka waziri asijenge?, je, mtampangishia nyumba katika maisha yake yote hata akiwa nje ya uongozi? Acheni wivu wa kike. Naomba mawaziri wote wajenge majumba ya zaidi ya shilingi Bn 3 ili wachonga midomo wachonge zaidi hadi midomo itanuke.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Hivi watanzania lini tutaendelea?, mlitaka waziri asijenge?, je, mtampangishia nyumba katika maisha yake yote hata akiwa nje ya uongozi? Acheni wivu wa kike. Naomba mawaziri wote wajenge majumba ya zaidi ya shilingi Bn 3 ili wachonga midomo wachonge zaidi hadi midomo itanuke.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".