Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo.
===============
BREAKING: The foreign ministers of France, Germany, Italy and the UK say they support the Arab-backed plan for the rebuilding of Gaza that would cost $53bn and avoid displacing Palestinians from the enclave.
Sasa ikijengwa na wakaachwa waishipo waache kabisa ugaidi la sivyo itabomolewa tena kwani gharama ya kubomoa sio kubwa kama ya kujenga na watauawa zaidi ya walivyouawawa kipindi hiki.