Mawaziri wa safari hii hawana safari zakushtukiza maeneo yao ya kazi?

Mawaziri wa safari hii hawana safari zakushtukiza maeneo yao ya kazi?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
2015 muda Kama huu Kigwangala alikuwa tayari ameshasimama getini kushughulika na watoro na wachelewaji maofisini.

Dakika Kama hizi tayari watu wameshafungasha virago kwa fitina za mkuu wa mkoa wa Dar.

Dakika hizi viongozi waandamizi washautwa mafisadi wanapambana na maelezo polisi na takukuru

Mida Kama hii nchi imeshakua na wateule wapya kila kona kwa amri mbalimbali. Mawaziri wa safari hii mnasubiri Hadi mzee aone mapungufu awaelekeze kuchukua hatua?

Anzeni japo na cement maana mkifanikiwa hii angle mtakuwa mmeanza vizuri, hakuna watu wameficua hi Mali sehemu?
 
Hakuna anayejiamini, wanasubiria kuona mzee baba anafanya nini ili waige.
 
"Kama unafanya kazi tutakuona tu" jpm

Hivyo kufanya vile ilikuwa ili 'jiwe awaone kuwa wanapiga kazi'😂😂
 
Matokeo ya kushtukiza yalishaleta ufanisi sasa wameingia hatua nyingine
 
Back
Top Bottom