Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ladies and Gentlemens,
Mawaziri wa Ulinzi Jumuiya ya kujihami NATO Jana wameshindwa kuafikiana na kua na msimamo wa pamoja juu ya hatua muafaka za kijeshi zinazokusidiwa kuchukuliwa dhidi Rassia yenye nguvu Zaidi. Je, kuna wanachama ndani ya Jumuiya ya NATO ni waoga au ni Marafiki wa Russia na wana maslahi na Russia au hawaoni sababu ya kuivamia Russia kijeshi au labda wanaamini katika meza ya mazungumzo kupata Suluhu na kwa hivyo wanahujumu mipango na jitihada za Jumuiya kijeshi dhidi ya Rassia?
Let's wait and see.
Mkutano ujao wa NATO ni July. Hali hii itaendelea hivi au kutakua na muafaka wa pamoja. Kumbuka Ukraine inaendelea kuteketezwa, inapewa silaha na wanachama wa NATO hali yakua nguvu kazi ya kutumia silaha hizo ni wachache na wanapotea taratibu siku hadi siku na hivi sasa wanaanza kuwafunza watoto masuala ya kijeshi ili kuwa wazalendo na kuipambania nchi yao, nao vilevile wataingizwa vitani na watapotezwa taratibu.
Kumbuka madhara ya hili la kuwafunza watoto masuala ya kijeshi ni kuiandaa nchi kwa mapinduzi ya Mara kwa Mara na ya wenyewe kwa wenyewe. Brothers and sisters ina tia huruma sana.
Mpaka sasa Ukraine dhaifu sana, inakadiriwa kua na wakimbizi zaidi ya M.7 huko ulaya na marekani. Watu zaidi ya M.5 wa Ukraine wameuawa hii ni pamoja na wanajeshi, watoto na raia wasio na hatia.
Hali ikiendelea hivi si wa-Ukraine wataisha na NATO haitakua na watu inaowapigania ndani ya Ukraine? Au lengo la NATO ni Ukraine iishe then wao waanzishe Taifa la NATO kwenye ardhi tupu ya Ukraine?
I see the unavoidable WW3.
That's my take,
Wasalam...