Mawaziri wa Ulinzi NATO kutofautiana njia za kijeshi dhidi Ya Russia, ni Dalili ya Ushindi Kwa Russia?

Tuilaani hii vita kwa nguvu zote bila kuegemea upande bali tusimame na watoto, wanawake na vikongwe wanaoathirika na upumbavu wa maonesho ya silaha yanayoendelea Ukraine

Tuikemeee vikaliiii [emoji1787][emoji1787]
 
Tuilaani hii vita kwa nguvu zote bila kuegemea upande bali tusimame na watoto, wanawake na vikongwe wanaoathirika na upumbavu wa maonesho ya silaha yanayoendelea Ukraine
Huwez kutokuegemea upande bandugu

Kinachofanyika ni kujizuia kutotoa msaada wa moja kwa moja utakaochagiza mgogoro kuendelea kuwa mkubwa
 
Hapo mbona hakuna la ajabu.

Unazungumzia mataifa zaidi ya 30 Kila mshirika anaangalia maslahi yake kwanin unashangaa kutoelewana? Na ukaenda kwenye hitimisho moja kwa moja.
 
hivi.zelesky hana akili.kabisa ajiulizi hao anaowategemea wanaogopa kwa nini
 
hawataki.uharibifu.uwapate.wakose.pa.kulala.kama.waukraine kwa kifupi.RAIA wao.hawataki shida. kwa.kumfurahisha.marekani
 
Attachments

  • _129888088_whatsappimage2023-05-27at6.16.25pm-1.jpg
    30.8 KB · Views: 1
Hapo mbona hakuna la ajabu.

Unazungumzia mataifa zaidi ya 30 Kila mshirika anaangalia maslahi yake kwanin unashangaa kutoelewana? Na ukaenda kwenye hitimisho moja kwa moja.
Ok
 
Kingwendu ni Bora kuliko takataka mwijaku
 
Tuilaani hii vita kwa nguvu zote bila kuegemea upande bali tusimame na watoto, wanawake na vikongwe wanaoathirika na upumbavu wa maonesho ya silaha yanayoendelea Ukraine
Alaumiww Urusi muasisi wa haya , alifuatwa mara 3 ila kiburu na hata siku 1 kabla hajavamia Biden alimuomba Putin asitishe kuivamia Ukraine ila Putin akakaidi
 
Na 2014 Urusi alipoivamia Na kupora Crimea na kufadhiri uasi nchini Ukraine , rais gan asie na uzoef alikuwa madarakan ? Mbona mnaficha ukwel kuwa Putin hii ndo tabia yake kuvamia majiran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…