Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

Sisi Tanzania kama taifa kuendekeza shepu wala hakujatufikisha hapa, ila kujuana kwingi ndiyo kumetufikisha hapa tulipo.
Serikalini watu wanapeana vyeo kwa kujuana na siyo uwezo wao kwenye nafasi wanazopewa
Sasa nini kifanyike?
 
Wana angaliwa ubongo/akili sio kigezo ujana. Uko kwenu fisiem ni uchawa TU
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huku kwetu ndiyo wapo kwenye foleni ya interview huko tiaraei
 
Botswana ni moja ya nchi zenye wanawake wenye misambwanda duniani.
Nimefungua uzi nikitarajia hilo, bahati mbaya sijakuta hivyo.

Mimi nadhani Lesotho au Eswatini (Swaziland) inaweza ikawa inaongoza...

Nilisoma na mwanadada anaitwa Melinda ni Mlesotho, alikuwa ana kama 40ft container hapo nyuma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…