Mawaziri waliotumbuliwa wanalipwa Mafao?

Mawaziri waliotumbuliwa wanalipwa Mafao?

Watu wote ambao walitupwa na Magufuli nje ya mfumo alafu Samia akawarudisha kwa mbwembwe akiamini kuwa anafungua nchi wote wameonekana kuwa kumbe walikuwa ni mqgunia ya mafi!

Hii inaonesha ni jinsi gani Jiwe alikuwa mbele ya muda.
 
Kwani wana mishahara miwili kwamba wanapokea mshahara wa ubunge na wa uwaziri?

Au kwenye uwaziri wanapata posho pekee na hivyo mafao yao ni ya ubunge kama wabunge wengine?
 
Sema Dereva alikamia kinoma. Au alikua anamnyanyasa?
Hakuna kitu kama hicho ndiyo maana kuna makadhiano
Unakabidhiwa pia unakabidhi

Ingekuwa kiholela basi malinyingi za serikali zingepotea

Hata Hilo gari alikabidhiwa Waziri sio Dereva
 
Back
Top Bottom