Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kiinua mgongokama v8 inaondoka mtu yupo ukumbini unatarajia mafao gani
Swali la kujiuliza ile fedha ya kugharamia timu ya mpira inatoka wapi cha kushangaza TAKUKURU hawajawahi kujiuliza hilo swali.Mimi Singida united simkubali kabisa. Mpigaji tu yule
Sema Dereva alikamia kinoma. Au alikua anamnyanyasa?kama v8 inaondoka mtu yupo ukumbini unatarajia mafao gani
Hakuna kitu kama hicho ndiyo maana kuna makadhianoSema Dereva alikamia kinoma. Au alikua anamnyanyasa?
Hizo ni kazi mbili tofauti.na mishahara tofautiKwani wana mishahara miwili kwamba wanapokea mshahara wa ubunge na wa uwaziri?
Au kwenye uwaziri wanapata posho pekee na hivyo mafao yao ni ya ubunge kama wabunge wengine?
Basi hawalipwi mshahara wa ubunge, wanapokea posho pekee. Serikali hailipi mishahara miwili.Hizo ni kazi mbili tofauti.na mishahara tofauti
HAKUNAGA MISHAHARA MIWILI, MSHAHARA ATAKAOKUWA ANAPOKEA NI ULE WA UWAZIRI NA POSHO ZA UWAZIRI NA UBUNGE.Kwani wana mishahara miwili kwamba wanapokea mshahara wa ubunge na wa uwaziri?
Au kwenye uwaziri wanapata posho pekee na hivyo mafao yao ni ya ubunge kama wabunge wengine?
Uwaziri hauna mafao zaidi ya mshahara, posho nono na rushwaHivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape na Makamba Jr wakitumbuliwa.
Je wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka fungu gani katika bajeti?
Si haba. Huenda Bumunda akapata hela ya Kujenga sasaUwaziri hauna mafao zaidi ya mshahara, posho nono na rushwa
Rushwa kwenye makampuni ya cm n.k ni zaidi ya mgodi wa Mererani mkuuSi haba. Huenda Bumunda akapata hela ya Kujenga sasa
Aseeeee!!