Mawaziri waliotumbuliwa wanalipwa Mafao?

Mawaziri waliotumbuliwa wanalipwa Mafao?

Hivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape na Makamba Jr wakitumbuliwa.

Je, wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka fungu gani katika bajeti?
Hawo mawaziri na watumishi wote wa serikali wanamifuko ya hifadhi kama PSSF hivyo tangu wanaajiriwa tuchukulie unalipwa 10000 kuna asilimia 25-40 ambayo unachangia so ikitokea umeachishwa unapewa pesa au kufa inakiwa mirathi ya familia ako au sio
 
Pole sana Oddo. Sasa hivi Hata simulator hupigiwi tena
 
Hivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape na Makamba Jr wakitumbuliwa.

Je, wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka fungu gani katika bajeti?
Mafao watapata ya Ubunge sio uwaziri, pale kinachomuuma mtumbuliwa ni V8 na posho
 
Back
Top Bottom