Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaache na mambo yao wenyeweHakuna hata waziri mmoja aliyepeleka ripoti ya utendaji kazi mpk sasa. Yupo waziri fulani yeye aliamua kumtemea mbovu Makonda kwa kusema kuwa "kuna watu 4 tu wanaoweza kumuamrisha nchi hii". Makonda ni debe tupu.
View attachment 2936437
Makonda ni kiazi mbatata, hakuna akili kichwani. Huwa anatumika na wana siasa kufanya vurugu tu kwa vile kuchwa chake hakina ubongo.Hakuna hata waziri mmoja aliyepeleka ripoti ya utendaji kazi mpk sasa. Yupo waziri fulani yeye aliamua kumtemea mbovu Makonda kwa kusema kuwa "kuna watu 4 tu wanaoweza kumuamrisha nchi hii". Makonda ni debe tupu.
View attachment 2936437
daaaaah we jamaa hua ni sadist kinoma,Makonda ni kiazi mbatata, hakuna akili kichwani. Huwa anatumika na wana siasa kufanya vurugu tu kwa vile kuchwa chake hakina ubongo.
Zaidi ya matako makubwa hana kingine cha kuringia
Hapa ni Novemba 2014, Ubungo Plaza aliambiwa akavuruge mkutano wa Jaji Warioba. Halafu uniambie kuwa Makonda ana ubongo??daaaaah we jamaa hua ni sadist kinoma,
Una uhakika kichwa chako kina ubongo?