Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Kwa jinsi unavyoonyesha ww wamekwishakudadavua sana huo mtaro, yaani hapo marinda yote wameyadadavua hamna hata alama yaani mfereji full midadavuo kwa kuzibuliwa. Post zako tu mbona zinajieleza

Sent using Jamii Forums mobile app
Redirect Notice
Ndio maana hata huyo jamaa kashindwa kuishi naye sasa ana dadavuliwa bila appointment hapo mjengoni.
Ni wewe tuu na kiwingu chako kuomba mchezo
 
Wao hawana uchungu na wananchi Makonda anaenda chini kwa wananchi na kutatua matatizo yao...Hata zoezi la kuimalisha jeshi la polisi nijitihada binafsi wao wanashindwa kutumia resouces yeye anazitumia wanahaha sasa kapeleka magari ya polisi karibu 100 kuyatengeneza Mwigulu alikuwa wapi unakuta gari limesimama kwasababu ya spare ya 500,000 kweli??yeye RC Makonda kajipenyeza kwa wafanya biashara wamechangia kaenda kwa wakorea kaomba kujengewa wodi Kigwangara na Ummy wapo sasa nani alaumiwe???Kaenda kwa ubalozi wa china kaomba kujengewa uwanja Nape alikuwepo Mwakyembe yupo!Kawaomba pikipiki za polisi Mwigulu anaona je hapo nani alaumiwe??acheni porojo Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matunda gani hasa ?ama mabibo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara paaaap mawaziri hao watakaomjadili Bashite vyeo vyao vikafutwa gafla
 
Wewe unaeleza kile macho yanaona, wenzako wanaeleza yalio nyuma ya Pazia kile Mwananchi wa Mpwapwike hawezi kuona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…