MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
muke ya GASHO hongera kuchukua ufesti ledi wa darMuke ya nani!?
Kama vile nawashwa washwa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muke ya GASHO hongera kuchukua ufesti ledi wa darMuke ya nani!?
Kama vile nawashwa washwa!!!!
muke ya GASHO hongera kuchukua ufesti ledi wa dar
Mwenye shepu yaki pekee......Mkuu wa mkoa wa kipekee
Mange kimambi......ccm hawalali wakimkumbukaKwaiyo ndiye Bashite ni maliyamungu wa tz na Idd amini wa tz ndio nani
mwenzio alienda kupandikiza imechomoka labda nawe ukajaribuEndelea kujaribu hadi nikuelewe.. unajua mimi sina nafasi hiyo na unanisingizia tu.
Bashite aliambiwa chapa kazi...mawaziri wakaambiwa wapumbavu nani unahisi anawachonganisha.....Leta chanzo cha taarifa yako, vinginevyo unataka kuwachonganisha tu.
Arudi shule akaifanyie kazi ile ziro....Kama wanazubaa makonda afanyeje?
Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
Alijulikana zaidi kama Isaac Maliyamungu na aliua sana...yasemekana kwamba hata Idi Amin mwenyewe kwa kiasi fulani alimuogopa! Alishabahiana na Bashite kwa mengi kuanzia tabia (ujasiri na ukatili) na elimu ndogo.
Thubuuutu mtoto kipenzi cha dingi ajadiliwe?......kama ni hii story ni kweli nadhani kwenye hicho kikao itakuwa ni baraza zima LA mawaziri.View attachment 585719
Mh.Makonda akikagua gwaride
Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda kukwapua majukumu ya wizara kupita kawaida jambo linalowafanya wao waonekane wapumbavu mbele ya Rais.
Wametolea mfano Makonda kumpoka Waziri Mwigulu katika kusimamia na kuamrisha jeshi la polisi mkoa wa Dar.
Tukio la juzi Makonda kuzuia bomoa bomoa imewaumiza sana na kuonekana Waziri wa Ardhi hatimizi wajibu wake. Pia mawaziri hao wamekuwa wazito kuchukua hatua kwa masuala ya Dar es Salaam wakihofia kudhalilika ikiwa Makonda atatengua maagizo yao
Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
Au hajui majukumu na mipaka yakeSiku zote, ukiona mtu anaingilia majukumu ya mwingine, basi jua inawezekana kuna nafasi ni dublicate...
Watajuana wenyewe,kama hawatak uwazir wajiuzuru na itawapa sifa,mwanaume analialia nini?View attachment 585719
Mh.Makonda akikagua gwaride
Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda kukwapua majukumu ya wizara kupita kawaida jambo linalowafanya wao waonekane wapumbavu mbele ya Rais.
Wametolea mfano Makonda kumpoka Waziri Mwigulu katika kusimamia na kuamrisha jeshi la polisi mkoa wa Dar.
Tukio la juzi Makonda kuzuia bomoa bomoa imewaumiza sana na kuonekana Waziri wa Ardhi hatimizi wajibu wake. Pia mawaziri hao wamekuwa wazito kuchukua hatua kwa masuala ya Dar es Salaam wakihofia kudhalilika ikiwa Makonda atatengua maagizo yao
Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
Only 2 KsWakuu wa mikoa hawahitaji kuonyesha vyeti wanapaswa wajue 3K. (Kuhesabu, Kusoma na Kuandika) maneno ya waziri wa utumishi na utawala bora