Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Brigadier Isaac Maliyamungu inasadikiwa alikufa mwaka 1979 katika vita ya kuikomboa Uganda kutoka mikononi mwa dikteta Idi Amin Dada iliyoendeshwa na majeshi ya Tanzania chini ya Jemadari wetu Mkuu Julius Kambarage Nyerere.Napenda kufahamu alifariki vipi huyo Maliyamungu