Mawaziri wapiga kimya kuhusu uwepo wa fedha zilizositishwa na bunge bajeti ya 2022/2023

Mawaziri wapiga kimya kuhusu uwepo wa fedha zilizositishwa na bunge bajeti ya 2022/2023

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wakuu,

Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au.

Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka.

Tangu July hadi September mfumo haufunguki.

Mwenye ufahamu kuhusu hali ya kifedha atujulishe tafadhali.
 
Umekosa mshahara wako au wewe ni mzabuni?

Unataka posho au ten perc?

Wananchi wanataka tozo zipungu, tunataka bei ya bidhaa iwe ya wastani, vijana wanataka ajira na mazingra wezesh ya biashara.
 
Umekosa mshahara wako au wewe ni mzabuni?

Unataka posho au ten perc?

Wananchi wanataka tozo zipungu, tunataka bei ya bidhaa iwe ya wastani, vijana wanataka ajira na mazingra wezesh ya biashara.
Fedha za serikali zilizotengwa kwenye bajeti ya mwaka 2022/2023 zimeelekwa wapi? Hata posho za wakuu za shule za serikali hazipo kizingizio mtandao haufunguki,
 
Back
Top Bottom