Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Wana hela hadi wanaogopa kufa yaani, Hela watamuachia nani?
pesa ni ya kutafuta kwa bidii na kunitumia vizuri ipasavyo my friends ladies and gentlemen,

vinginevyo utaishia umbea, porojo na story za pata potea mitandaoni, ati sijui nani ana pesa kiasi gani, huku umikenua meno tu na uvivu kama wote

you must work hard completely 🐒
 
Uko vizuri boss. Umenikumbusha mbali. Hata yule mfalme maarufu Elexander the Great aliliona hilo na alipokuwa ktk hatua za mwisho za uhai wake aliwaita makanda wake na kuwaamuru kwamba akifa jeneza lake sharti libebwe na madaktari na mikono yake iwe wazi nje ya hilo jeneza. Akawasainisha Hati ya Maagizo. Alipoulizwa alisema ni ili raia wake wajue dhahir kwamba alikuja pasi na kitu na ameondoka pasi na kitu. Yoote ameyaacha hapa hapa duniani kama alivyoyakuta hajaondoka na chochote.
Na wale madaktari alitaka watu wajue kuwa alikuwa nao wengi tu lakini walishindwa kuzuia roho yake isitoke 😅🙏
 
pesa ni ya kutafuta kwa bidii na kunitumia vizuri ipasavyo my friends ladies and gentlemen,

vinginevyo utaishia umbea, porojo na story za pata potea mitandaoni, ati sijui nani ana pesa kiasi gani, huku umikenua meno tu na uvivu kama wote

you must work hard completely 🐒
Work hard like wabeba zege and wasukuma toroli Gentlemen !
Don’t work lazyly like the ones inside viyoyozi places Gentlemen !
Work so hard gentlemen ! Don’t forget that 😳 !
 
U
Utajiri sio dhambi
tajiri sio dhambi na wala sio muhimu sana kuwa nao isipokuwa dhambi ni pale unapoingia ulingoni ukiwa mutu ya kawaida tu then baada ya miaka mitano unakuwa kibopa wa kutupwa 😳
Hapo ndipo dhambi itakapoanzia 😳
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!!
 
Back
Top Bottom