Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Waambie USAID haipo Tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie USAID haipo Tena
Kwa sasa wajifunze kuishi bila USAID au vp.Waambie USAID haipo Tena
Wawe wapole, no more kudanganyanaKwa sasa wajifunze kuishi bila USAID au vp.
Mwigulu hakosi hapo
Dunia tunapita
Hii toilet paper bado ipo? Gazeti zima anaandika mtu mmoja, anajibadilisha majina tu, mara mwandishi wetu, mara sijui nani
Hivi ndivyo walivisemaga vinaitwa Tabloids sio?Vigazeti uchwara
Hivyo hivyoHivi ndivyo walivisemaga vinaitwa Tabloids sio?
Lissu kesho kutwa atakuwa tajiri sana baada ya kula ruzukuWatu wana hadi vyumba vimejaa noti, wewe utaishia kuvishwa fulana zenye picha ya Samia tu au Mama ongea na mwanao
Inaamaana huna pesa za kununua gazeti? Chadema utachangia kweli?Hatari sana.
1.
2.
3.
4.
5.
?
Si ajabu ni mmoja wa wanaoogelea, izi fake Id zinaficha mengi.Hoja nzito ila umeijibu kinyumbu sana boss.
Ni rahisi sana kujua kama wanaiba. Kama mshahara wa waziri ni mil 20, kwa mwezi au mil 240, kwa mwaka lakini ana miradi ya billions 10 na hana mikopo , huyo ni mwizi tu.Bidhaa feki zazidisha UMASIKIN, Trump aacha maumivu nchini, Rwanda Uganda M23, CHADEMA kuja kivingine .
Kwahiyo Wee na Ujuha wako, Mwandishi kugusa mawaziri watano ,ndo gazeti limekosea?.
Hao mawaziri ni watu , tunaishi nao, wanajulikana kabla ya Vyeo walikua na kiasi gan, je sio sahihi watu kuhoji huo Utajiri wa ghafla umepatikanaje?.
Mkwe wa TaifaMchengerwa kama hayupo hiyo list ni fake.
Yeah humu ni chaka kubwa sanaSi ajabu ni mmoja wa wanaoogelea, izi fake Id zinaficha mengi.