Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Bidhaa feki zazidisha UMASIKIN, Trump aacha maumivu nchini, Rwanda Uganda M23, CHADEMA kuja kivingine .

Kwahiyo Wee na Ujuha wako, Mwandishi kugusa mawaziri watano ,ndo gazeti limekosea?.

Hao mawaziri ni watu , tunaishi nao, wanajulikana kabla ya Vyeo walikua na kiasi gan, je sio sahihi watu kuhoji huo Utajiri wa ghafla umepatikanaje?.
Ni rahisi sana kujua kama wanaiba. Kama mshahara wa waziri ni mil 20, kwa mwezi au mil 240, kwa mwaka lakini ana miradi ya billions 10 na hana mikopo , huyo ni mwizi tu.
 
Back
Top Bottom