Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Siyo watano tu Bali ni zaidi ya kumi wamekuwa matrilionea.Awamu za kifisadi kama hii lazima kupata matrilionea kupitia ufujaji wa pesa za umma.
Kuna kigogo mmoja namjuwa jina kapuni ana nyumba zaidi 5
Wilaya ya kinondoni
Sasa bado hao wengine ,magorofa mengi yanayoshushwa ni ya vigogo asilimia kubwa

Ova
 
Awamu hii ya mama ukiwa lofa basi umejitakia mwenyewe

Ova
 
Yule wa uwekezaji hakosi hapo, kwenye uwekezaji Kuna mapigo ya hatari!
 
Back
Top Bottom