Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Nani ambaye hataki hela, acheni unafiki.

Mawaziri wanafanya kazi kubwa sana hapa nchini.

Wanalitumikia taifa kwa uzalendo mkubwa na wa ajabu.
 
Nani hafanyi kazi boss, mbona unataka kufanya kama kazi ya uwaziri ni ngumu sana, na wanaofanya wanafanya kwa kujitolea? Hao wanalipwa mishahara tena isiyoendana na wanachofanya, iweje waibe na nyingine?
 
Umewahi kuwa waziri ?

Uwaziri ni kazi ngumu na yenye lawama nyingi.

Hizo hela zimeibwa kutoka wapi ?

Acheni kuchafua viongozi bila sababu za msingi.
 
Hakuna wa kuwatapisha serikali hii acha kujilisha upepo kiongozi, ndio urefu wa kamba zao
No condition is permanent. Nani alijua kuwa Magu angezisizi hela za mafisadi kwenye akaunti. safari hii tutazifuatilia hata zile za nje ya nchi. Tutaanza na zile za kwenye madiaba majumbani.
 
Back
Top Bottom