Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Nimefungua Uzi kwa ghadhabu na hasira baadae nikakuta ni gazeti la Kubenea na juu kaweka picha ya CAG!
Imebidi niwe na subra kwanza kabla ya kukomenti au kulaani chochote kwa yeyote!
 
Hii toilet paper bado ipo? Gazeti zima anaandika mtu mmoja, anajibadilisha majina tu, mara mwandishi wetu, mara sijui nani
Ahahahahaha! Miaka linaanza nilikuwa naweka oda ya mwezi kabisa! Leo hii sijui hata kama bado lipo!!
 
Wewe unaona kipi kimepatiwa?
Bidhaa feki zazidisha UMASIKIN, Trump aacha maumivu nchini, Rwanda Uganda M23, CHADEMA kuja kivingine .

Kwahiyo Wee na Ujuha wako, Mwandishi kugusa mawaziri watano ,ndo gazeti limekosea?.

Hao mawaziri ni watu , tunaishi nao, wanajulikana kabla ya Vyeo walikua na kiasi gan, je sio sahihi watu kuhoji huo Utajiri wa ghafla umepatikanaje?.
 
Tutajie majina na Kiasi walichokuwa nacho kabla na walichonacho sasa tuione hiyo tofauti. Na nakuapia, ukiwataja majina na Jamii Check ikathibitisha, naleft JF
MAZIMA!!!
 
Back
Top Bottom